Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Pole mkuu
Nimegundua mambo mengi ambayo hauna uhakika nayo, hata sisi wengine hatuna uhakika ila tunajipa moyo tu na kujiaminisha.

Mfano hata hawa tunaodhani ni ndugu zetu, watoto wetu nk. unaweza kuta wala hatuna undugu nao!
 
Ipo tunakutana mara nyingi, hata weekend hii tulikuwa na mkutano kuongelea mada zetu.

Asiyeamini au anayeamini mwenye shaka anayetaka kushiriki mazungumzo haya, hata kwa kusikiliza tu, anitafute PM.
hamna kigezo cha umri?😅

maanake nipo 20 nisijefanywa third wheel...
 
74 people are here. Mimi pia nina doubt na uwepo wa Mungu ila nasali na sipendi kupewa vyeo kanisani, hasa yesu ndo simwamini hata kidogo
Mi nasali kila siku na mwanangu ila ndo huwa simaanishi
 
hamna kigezo cha umri?😅

maanake nipo 20 nisijefanywa third wheel...
Tena vijana wadogo wa umri kama huo ndio wanatakiwa zaidi kuongeza diversity na tuwasikilize mawazo yao.

Mimi nilipokuwa na umri huo tayari nilishasoma dini nyingi za dunia na "Philosophy of Religion: An Anthology", na kuelewa kuwa huyu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Natamani sana siku zike kungekuwa na vikundi kama hivi vya sasa, na kwa sababu hiyo, naelewa umuhimu wa sio tu kuwaweka vijana kwenye vikundi hivi bali pia kuwasikiliza kwa makini sana iki kujua dunia ijayo inakuja vipi kutoka kwa vijana wenyewe.
 
Andiko lako limenitoa Machozi, sijui Kama Kuna Mwingine ame experience the same Kind of emotions or I'm just too emotional today.
Pole mkuu!
Mi mwenyewe kuna vitu nilikua naandika nikajikutq mood imebadilika lkn yote maisha uzima🙏🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…