TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Nimegundua mambo mengi ambayo hauna uhakika nayo, hata sisi wengine hatuna uhakika ila tunajipa moyo tu na kujiaminisha.Pole mkuu
Mfano hata hawa tunaodhani ni ndugu zetu, watoto wetu nk. unaweza kuta wala hatuna undugu nao!