FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Definitely.. hujambo lakini?? Where is HS?? Simwoni nae sikuhiziMaybe heading ameamua kuiweka kifasihi zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Definitely.. hujambo lakini?? Where is HS?? Simwoni nae sikuhiziMaybe heading ameamua kuiweka kifasihi zaidi.
Linichome kwani lina shoti za umeme!
Kila siku nasoma biblia kuandaa mahubiri na sichomi ila ni bora utumie maneno yako yanaweza kiwa ya maana kuliko hayo unayodhani yananichoma
Amen ila bado siamini mkuu🙏🏼yakob 1:13-15
Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu. Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
ww umeshavutwa na kudanganywa na mwovu ibilisi shetani either kwa kujua au kwa kutokujua, tamaa yako uliyonayo ya kuwa atheist ikiishakuchukua mimba itazaa dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu, na mwisho utapata mauti ya kiroho na hutafanikiwa kuurithi ule uzima wa milele, sikuhikumu ila nakuombea ulione hili jambo kwa jicho la kiroho na ubadilishe huo mtazamo wako..mm niishie hapa kwa leo...BWANA YESU ASIFIWE
Aya usiku mwema mtumishi,saa nne hiiHakuna mwenye perfect life mkuu
Ungeifupisha kdgPole doto
Thanks MwachiluwiUnzi mzurii
Umemaliza yote mkuu.Mimi binafsi nimekuelewa mno na kaa hapo unapopaamini ila.........
UKweli usiosemwa sana na watu ni kuwa, karibia kila mtu ana wasiwasi na uwepo wa Mungu ila wengi wanashindwa kusema wanabaki wanagugumia nafsini mwao. Mbaya zaidi ni malezi na makuzi tuliyokulia kwa kuamini kuwa haitakiwi kuhoji juu ya yeye ila tusikilize na tuseme Amina!
Ila kiukweli kabisa kabisa, watu wana maswali mengi mnoo na shaka nyingi sana juu ya uwepo wake. Wanaogopa kukufuru
Sio rahisi hivyo ila wengi wanakuwa wanahoji kinyume nyume ila naona asilimia kubwa ufikiri umeanza kufanya kaziUmemaliza yote mkuu.
Ila ni suala la muda watu watajiweka wazi
Ana ndugu kwa baba yake mkuuHii Dunia ina mengi kweli watu ni visa na mikasa na vile vile watu ni story na dunia imejaa machaguzi umeamua kuwa mbinafsi tu. Kuna wakati huyo little one naye atahitaji nduguye naye atakuwa aishi maisha ya upweke na kutoa simulizi zisizo za kweli.
Kwenye kuwakuza hawa little children chukua hii "Hatimaye tusiwaandalie barabara watoto wetu wadogo tuwaandae watoto wetu wadogo kwa ajili ya barabara. Yote kwa yote pole kwa hali hiyo na ndivyo maisha yanaenda.
Anza kujaribu siku moja utawezaSiwezagi sijui kwanini,sorry