Nadhani ni wakati muafaka kwa Vijana kama Makonda na Sabaya kurudishwa kwenye System

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Hawa vijana walifanya kazi nzuri katika Awamu ya Tano, kwa hali ilivyo bado wanahitajika kuweza kumsaidia Rais Mama Samia pia.

Maana atakavyo endelea kucheka na watu ndio watakavyozidi kumuharibia na kuja kuonekana si kitu 2025.

Hivyo ni bora hii miamba irudi kazini kurudisha heshima na kusaidia kodi kukusanywa kwa namna yoyote ile ile kama walivyo saidia Awamu iliyopita.
 
Kila Zama na kitabu chake, wkt tunalimia meno, wao walikuwa wanakula bata, Sasa ni zamu yetu kulamba asali, makondakta na saambaya kuleni makande nyau nyie.
Lakini bado wanahitajika sana
 
Kumbe ujambazi ,matusi, mauaji ,matumizi mabaya ya ofisi ya umma ndio kazi nzuri?

Sijawahi kuwa na shaka security issues zikiwa raised na CIA .

Your browser is not able to display this video.
 
Nani amekwambia anawahitaji kwenye system? Majambazi yanaweza kuwa kwenye system ya kijambazi tu kama jambazi mwendazake
 
Warudishe kwenye familia yenu kama mnawahitaji sana,nchi Ina watu zaidi ya mil 50 hii
 
Sabaya atakuwaje kiongozi hali yupo jela na atoki kesho
 
Si wajiajiri kwani hakuna watanzania wengine?
 
Jinga kabisa,... Dhuluma na kuua watu ndio kazi nzr? Wenyewe wanaishi kama digidigi mtaani kwakua wanajua kuwa wanasakwa mtaani, halafu unaleta uharo hapa.
 
Sheria inasemaje mtu akishtakiwa na kuhukumiwa?
 
Naona mawazo haya kama upo serious basi ni mtu uliyeamua tu kutojali chochote kwenye maadali ya uongozi au unafaidika binafsi na hao watu au ulikuwa sehemu ya mtandao wao.
 
Next time kabla ya kuanza kuharisha ukumbuke kutembea na hii ukienda kwa hao mabwana zako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…