Nadhani ni wakati muafaka kwa Vijana kama Makonda na Sabaya kurudishwa kwenye System

Nadhani ni wakati muafaka kwa Vijana kama Makonda na Sabaya kurudishwa kwenye System

Sasa kati ya kuwarudisha Nape na Makamba na hawa ni wapi bora?
 
Hawa vijana walifanya kazi nzuri katika Awamu ya Tano, kwa hali ilivyo bado wanahitajika kuweza kumsaidia Rais Mama Samia pia.

Maana atakavyo endelea kucheka na watu ndio watakavyozidi kumuharibia na kuja kuonekana si kitu 2025.

Hivyo ni bora hii miamba irudi kazini kurudisha heshima na kusaidia kodi kukusanywa kwa namna yoyote ile ile kama walivyo saidia Awamu iliyopita.

Ila ww Mzee huwa unanichekesha sans, ulikuwa kwenye lile kundi la watu wasiojulikana nini? Serekalini inasema inakusanya mpaka kuvuka malengo, ila ww unataka hao mumiani warejeshwe kuichafua serekali kwa matendo ya kihayawani?!
 
Kijana katuwakilisha ubalozi Wa falme za kiarabu,safi sana
 
Kama walioghushi vyeti na kupata ajira kwa udanganyifu Serikali imesema wapewe mafao yao,kuna shida gani kurudishwa kwa majambazi Sabaya na Makonda?
Mbona mtu alipohoji PhD ya mtu fulani aliishia kuuwawa kwanini asingeleta chapisho tuthibitishe ?

Kumbe CCM pia mna sera ya kupika majambazi?
 
Back
Top Bottom