Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.
Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.
Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Sasa miaka 10 ndo umemzidi sana? Nafikiri una shida, mi wangu nimemzidi miaka 26 na nampelekea moto kila akitaka na sishibi wkt nina 50s, miaka yako unayosema mi nlikuwa nasoma shule, na bado naonjaonja sijchagua kutulia napiga deile! Nenda katibiwe, usikatishe vijana wenzio tamaa.