Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.

Sasa miaka 10 ndo umemzidi sana? Nafikiri una shida, mi wangu nimemzidi miaka 26 na nampelekea moto kila akitaka na sishibi wkt nina 50s, miaka yako unayosema mi nlikuwa nasoma shule, na bado naonjaonja sijchagua kutulia napiga deile! Nenda katibiwe, usikatishe vijana wenzio tamaa.
 
dah! yani kinda kbs unaongea hayo? Ukifika 60 itakuwaje kiongozi, yani bado asubuhi kabisa upo unatakiwa kumpelekea moto hadi aombe samahani then unakuwa na nyingine ya akiba kule nje ya kumalizia ugwadu!
 
Nimeshangaa mleta uzi anayetaka mzee mwenzie ili waende aste aste ana miaka 32. Lol.
 
Hapo itakuwa either unakula na kunywa visivyofaa, au afya haipo vizuri, au mifuko imetoboka sana..
Tafuta suluhisho la tatizo!

Shida siyo umri, 32 kwa mwanaume bado kijana. Kuna watu wana 50 wanawafikisha dogodogo kama kawa
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Mimi naona usijipe wasiwasi mkuu na mawazo kwenda kumnyong'ozea mkuu mwenzio pale chini.... Binafsi mke nimezidi miaka kumi, ila mchepuko ndiyo nimemzidi around 20..... Lakini shoo nazimudu ingawa sasa naanza kuona nahitaji miaka michache huyo mchepuko naye achoke , akiwa forties ..... Endelea kutumia tiba lisha za kiasili, hakikisha ukipata game time, piga kwa uhakika, ila isiwe mfano kila siku.... Halafu kuna mwili na hisia kumzoea mwenzio..... Inapunguza ile hamasa ..
 
Mbona we Bado dogo sana

Mi nna 37 yrs nimeoa ka 24 yrs na nna perform vizuri tu

Kama wewe ni Bigi au unakitambi fanya mazoezi pia Kula matunda kwa wingi (napendekeza tikiti maji na parachichi) epuka kula vyakula vyenye mafuta na soda

Usisahau mchanganyiko wa asali na mdalasini (vijiko vinne vya chakula vya mdalasini changanya na asali lita moja kisha asubuhi tumia kijiko kimoja cha chakula na jioni kimoja)
 
Yaani miaka 32 unalalamika nguvu?

Hakuna namna mkuu lazima utombewe!

Tena umesema demu wako umemzidi miaka 10, maana yake ana miaka 22.

Hapo kutombewa ni "sure bet"
Maana miaka 22 nyege na utoto viko mahala pake.

Hapo kutombewa ni SURE BET 100%
😀 Wasafi bet
 
Huyo mwamba hana nguvu za kiume tu anasingizia umri.

Mwanamke mwenye miaka 22 hata sex drive bado siyo kubwa sana akianza kuitafuta 30 40 hapo atamkimbia huyu.

Atafute dawa za kuongeza nguvu tu apone aache kusingizia umri.
 
Wewe hata upate wa rika lako bado utavurunda tu sababu ni mgonjwa,umri unausingizia.

Umri huo watu wanaunganisha bao mbili bila kuchomoa.
 
Back
Top Bottom