Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya Musa mfupi, si zaidi ya miezi 6.
Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano.
Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida kwake kulewa Hadi kujikuta ameopolewa na wanaume Wengine. Mimi siyo mnywaji kabisaa. Nilipomkanya akanuna mazima.
Wa pili alikuwa mjasiriamali. Katika kipindi cha wiki mbili za Mahusiano kashakula laki 7 yangu na bado anananipa Bill ndefu. Nikajiengua kimya kimya.
Wa tatu alikuwa Ni mtu wa nyanda za juu kusini. Kosa lake ni lugha ya dharau. Mara kwa mara alikuwa ananisonya(huwa sipendi kusonywa). Mara ya mwisho alinisonya na kuniambia " kaone haka nako kajinga", nikaona huu Ujinga. Niliwasha makonzi ya utosini, Nikaamua kumfukuza usiku wa manane.
Wa nne alikuwa ananiomba nimle tigo nikamuambia siwezi, akaamua mwenyewe kuniacha.
Wa tano nilimuacha mwezi huu baada ya mama yake mzazi kunitaka kimapenzi. Nikaona Mtoto wa kahaba hawezi kuwa mama wa watoto wangu.
Nadhani Sasa nikubali tu yaishe.