Nadhani nimekosa mke wa kuoa

Nadhani nimekosa mke wa kuoa

Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya Musa mfupi, si zaidi ya miezi 6.

Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano.

Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida kwake kulewa Hadi kujikuta ameopolewa na wanaume Wengine. Mimi siyo mnywaji kabisaa. Nilipomkanya akanuna mazima.

Wa pili alikuwa mjasiriamali. Katika kipindi cha wiki mbili za Mahusiano kashakula laki 7 yangu na bado anananipa Bill ndefu. Nikajiengua kimya kimya.

Wa tatu alikuwa Ni mtu wa nyanda za juu kusini. Kosa lake ni lugha ya dharau. Mara kwa mara alikuwa ananisonya(huwa sipendi kusonywa). Mara ya mwisho alinisonya na kuniambia " kaone haka nako kajinga", nikaona huu Ujinga. Niliwasha makonzi ya utosini, Nikaamua kumfukuza usiku wa manane.

Wa nne alikuwa ananiomba nimle tigo nikamuambia siwezi, akaamua mwenyewe kuniacha.

Wa tano nilimuacha mwezi huu baada ya mama yake mzazi kunitaka kimapenzi. Nikaona Mtoto wa kahaba hawezi kuwa mama wa watoto wangu.

Nadhani Sasa nikubali tu yaishe.

Eti kaone haka kajinga! Dah
 
Yote inategemea na jinsi ulivyo jiweka/character au personality yako..

1.mhasibu mlevi, inaonekana na wewe ni mlevi mtu mlikutana nae bar kwanini sasa umbadilishe?

2.Mjasiriamali inaonekana ulienda kwa "showoff " kibao kuonekana una hela n.k akaona acha akupurusee.

3.aliekwambia "acha ujinga" Mimi sijui lakini kama alikwambia labda ni ukweli inabidi uache huo ujinga aliokwambia.

4. Mpenda tigo inaonekana uliwapata wale wavaa vijora na vikuku unategemea nini?

Ushauri wangu.

Acha pombe mrudie Mungu nenda kanisani/masjid wanawake wazuri bado wapo, Mke atafutwi wakati ukifika atakuja mwenyewe.

Kuna shida mahali, ila kujigundua ni changamoto
 
Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya Musa mfupi, si zaidi ya miezi 6.

Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano.

Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida kwake kulewa Hadi kujikuta ameopolewa na wanaume Wengine. Mimi siyo mnywaji kabisaa. Nilipomkanya akanuna mazima.

Wa pili alikuwa mjasiriamali. Katika kipindi cha wiki mbili za Mahusiano kashakula laki 7 yangu na bado anananipa Bill ndefu. Nikajiengua kimya kimya.

Wa tatu alikuwa Ni mtu wa nyanda za juu kusini. Kosa lake ni lugha ya dharau. Mara kwa mara alikuwa ananisonya(huwa sipendi kusonywa). Mara ya mwisho alinisonya na kuniambia " kaone haka nako kajinga", nikaona huu Ujinga. Niliwasha makonzi ya utosini, Nikaamua kumfukuza usiku wa manane.

Wa nne alikuwa ananiomba nimle tigo nikamuambia siwezi, akaamua mwenyewe kuniacha.

Wa tano nilimuacha mwezi huu baada ya mama yake mzazi kunitaka kimapenzi. Nikaona Mtoto wa kahaba hawezi kuwa mama wa watoto wangu.

Nadhani Sasa nikubali tu yaishe.
Focus na mishe zko, mke atakuja mwenyew
 
Usiwe mutu ya kujionesha kuwa una pesa..afu usiwe siriyasi sana kuwa normal tu Mzeebaba
 
....una mwili mdogo halafu unapenda kuendesha tank na magari makubwa kama msomali....hayo magari makubwa hatupaki nyumbani bro, nyumbani ni IST, Vitz, Rush n.k na ndo material wapo huko...hizo kubwa za kwenda nazo masafa kisha unaziacha huko huko....kuwa mcha Mungu upate akili na busara, Jihakikishie kipato cha uhakika, Fanya mazoezi kwa afya yako kujiweka vizuri hii pia itakuongezea kujiamini mwisho kuwa bize na maisha yako ya kuandalia maisha familia yako ijayo mke atakuja automatically, achana kabisa na fatique ya kutafuta mke sababu ni ngumu sana..acha nature i-select.!
Hapana Nina mwili mkubwa sana. Hata wanaume wenzangu huniita bigi
 
Nasema atakusumbua sababu Wanawake always wanadata na BAD-BOYS, iwe kwa ndoa au mahusiano.

Sasa wee mtoa mada umenyooka straight kabisa huna makando kando yyt, na Tena unajisifia sijui
-sijawai kunyaa pombe
-Sijawai kula tigo
-demu anapenda Ela (uhongi/bahili)

Hii ni kasoro,
Mwaanume kua husband material na kuamua kuoa, muhimu upitie pitie purukushan za ujana zikushape vizur.
🙏🏿🧢
 
"kaone haka nako kajinga", watano ndo umetafuta sana na unaona umetulia loh " get five women at once select 4 choose three love two marry one"........hiyo ndo formula ya wanaumme walio kamilika sio aka...hahaha joking
Aisee 😅🧢
 
Back
Top Bottom