Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mtoa mada inaonekana mazingira uliyokulia na mazingira unayotaftia MKE Ni vitu viwili tofauti ndo maana kila unapogusa unakutana na surprise.
Wenzio tushazoea,
Wanawake wa kila Aina tumepita nao
-ukikutana na mdangaji
unahonga kidg kisha unapita naye, unasuuza nafsi yako Kisha unapita hivi
-wapenda sigara na bangi,pombe
Unampa sigara na pombe, unamix ugolo kidg akilewa unakula unapita hivi
-wenye viburi na dharau
Hatujali tunawanyoosha tunaishi nao
-threessome, orgy, zote tumepitia
Ase shikamooi mkuu