Nadhani nimekosa mke wa kuoa


Ase shikamooi mkuu
 
Usitusemee tafadhali!
 
Mkuu katotoleshe watoto kweny ma cubetter
Mapenz yataku Ua
 
Eeh weeh una balaa.
Em njoo unioe mim.

To yeye nmejipatia mchumba na ngoma zichezwe.
Darlin hatimaye leo nmepata.
Aliliiiiiiiiiiiiiiiiiiiih aiaiaiiiiiiiiiiii😂
 
Eeh weeh una balaa.
Em njoo unioe mim.

To yeye nmejipatia mchumba na ngoma zichezwe.
Darlin hatimaye leo nmepata.
Aliliiiiiiiiiiiiiiiiiiiih aiaiaiiiiiiiiiiii😂
Embu dada kua wa sita hapo na uhakikishe mwakani tunakula pilau
Usituangushe dada si unajua wew ni rolimodo wanguuu🤭
 
Embu dada kua wa sita hapo na uhakikishe mwakani tunakula pilau
Usituangushe dada si unajua wew ni rolimodo wanguuu🤭
Dada andaeni sare pambe.
Harusi tunayo bila Guyana harusi ipo bado.
Mwakani mbali sana je akichukuliwa harusi tunayo siku ya mwaka mpya na mchumba mpya.😂😂😂
 
....una mwili mdogo halafu unapenda kuendesha tank na magari makubwa kama msomali....hayo magari makubwa hatupaki nyumbani bro, nyumbani ni IST, Vitz, Rush n.k na ndo material wapo huko...hizo kubwa za kwenda nazo masafa kisha unaziacha huko huko....kuwa mcha Mungu upate akili na busara, Jihakikishie kipato cha uhakika, Fanya mazoezi kwa afya yako kujiweka vizuri hii pia itakuongezea kujiamini mwisho kuwa bize na maisha yako ya kuandalia maisha familia yako ijayo mke atakuja automatically, achana kabisa na fatique ya kutafuta mke sababu ni ngumu sana..acha nature i-select.!
 
Kuoa kunakuja automatic jombaa, ukiwa na shauku ya kuoa utavamia kila mwanamke ukidhani ni wife material
 
Naomba no za huyo wa tigo na huyo ambae mama ake anakutaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…