Nadhani nimekosa mke wa kuoa

Nadhani nimekosa mke wa kuoa

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6.

Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano.

Wa kwanza Alikuwa mhasibu, kosa lake ni kuwa na kampani ya slay quees na walevi. Ni jambo la kawaida kwake kulewa Hadi kujikuta ameopolewa na wanaume Wengine. Mimi siyo mnywaji kabisaa. Nilipomkanya akanuna mazima.

Wa pili alikuwa mjasiriamali. Katika kipindi cha wiki mbili za Mahusiano kashakula laki 7 yangu na bado anananipa Bill ndefu. Nikajiengua kimya kimya.

Wa tatu alikuwa Ni mtu wa nyanda za juu kusini. Kosa lake ni lugha ya dharau. Mara kwa mara alikuwa ananisonya(huwa sipendi kusonywa). Mara ya mwisho alinisonya na kuniambia " kaone haka nako kajinga", nikaona huu Ujinga. Niliwasha makonzi ya utosini, Nikaamua kumfukuza usiku wa manane.

Wa nne alikuwa ananiomba nimle tigo nikamuambia siwezi, akaamua mwenyewe kuniacha.

Wa tano nilimuacha mwezi huu baada ya mama yake mzazi kunitaka kimapenzi. Nikaona Mtoto wa kahaba hawezi kuwa mama wa watoto wangu.

Nadhani Sasa nikubali tu yaishe.
 
Yote inategemea na jinsi ulivyo jiweka/character au personality yako..

1.mhasibu mlevi, inaonekana na wewe ni mlevi mtu mlikutana nae bar kwanini sasa umbadilishe?

2.Mjasiriamali inaonekana ulienda kwa "showoff " kibao kuonekana una hela n.k akaona acha akupurusee.

3.aliekwambia "acha ujinga" Mimi sijui lakini kama alikwambia labda ni ukweli inabidi uache huo ujinga aliokwambia.

4. Mpenda tigo inaonekana uliwapata wale wavaa vijora na vikuku unategemea nini?

Ushauri wangu.

Acha pombe mrudie Mungu nenda kanisani/masjid wanawake wazuri bado wapo, Mke atafutwi wakati ukifika atakuja mwenyewe.
 
Shida iko kwako wewe inaonekana ndio mtu wa hivyo au inatokana na haiba yako ndio inasababisha uvutie wanawake wa hovyo japo wewe unaweza ukawa normal kabisa ila jinsi unavyo behave na mtazamo wako kuhusu mapenzi na wanawake ndio inakuletea wanawake wa hivyo

Huwezi kuwa mwanaume mwenye kusimamia maadili na upo makini na maisha yako ukapata wanawake wa hovyo ngumu sana hata wanawake wenyewe watabehave kutokana na misimamo yako hata kama wanaudhaifu
Watu wengi hulalamika kukutana na watu wa hovyo bila kujua tabia na mitazamo yao ndio huwavutia watu wa namna hiyo wala sio kwamba watu wote ni hawana maadili na utu ,watu wanaojua maadili wapo wengi tu ila shida uwezi kwapata kwa sababu hamshabiani nao kimtazamo wa maisha
 
Back
Top Bottom