Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Kwa waoaji gani siku hizi? Hakuna kitu kinachekeshaga kama majority of men kujiona ni perfect. Yaan mumeoza kwa almost kila kitu ila kutwa kusakama watoto wa wenzenu. Tabia ulizo nazo ndo unatamani bintiyo aje kuolewa na mwanaume wa kaliba yako? Wewe unazo sifa za kuwa mume? Unakutana na wa kufanana na wewe ndo maana unalalamika. Good women still exist. Halaf wewe siyo malaika. Period...! Mnapendwa sana, mnaheshimiwa sana na kunyenyekewa halaf ndo mnaitumia kama nafasi ya kunyanyasa watoto wa watu na kuwafanya watumwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee Jf raha sana
 
Acha kulia lia mtoto wa kiume, fahari ya mwanaume kumtumza mke (mwanamke).

Kwann usivumilie genye zako ukipata ndo utongoze?
 
Kama nusu ya wanawake hawafai kuolewa, je kiasi gani cha wanaume wanafaa kuoa? Nadhani pia ndoa ziendane na majira na nyakati. Katika hili isiangaliwe jinsia I la iangaliwe ndoa yenyewe
 
Sio 50% hawafai, 99.9% hawafai kuolewa wala Kuwa Mama, Ni ngumu ila ndio ukweli, Ili kukabiliana na hili tatizo ndoa za mkataba na prenuptial agreement ni lazima. Kwa hio sheria za ndoa lazima zibadilishwe, kwani hiki ni chanzo pia cha umasikini Tanzania. Tz sio ya kwanza kubadilisha sheria za ndoa, China iligungua sheria za ndoa zinarudisha UCHUMI nyuma na wakabadilisha.
 
Kwani umelazimishwa kuwaoa?

Kuna siku dunia ilisimaa kisa kuna wanawake hawajaolewa au baadhi ya wanaume hawajaoa?

Ukiona mahusiano yanakushinda achana nayo fanya mengine.
Uko sahihi ila lazıma sheria za ndoa zibadilishwe ili hicho ulichoandika kifanyike
 
Kunywa maji upunguze hasira kidogo mama. 😂
 
Wahenga husema aisifuye mvua imemnyea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…