miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kwa waoaji gani siku hizi? Hakuna kitu kinachekeshaga kama majority of men kujiona ni perfect. Yaan mumeoza kwa almost kila kitu ila kutwa kusakama watoto wa wenzenu. Tabia ulizo nazo ndo unatamani bintiyo aje kuolewa na mwanaume wa kaliba yako? Wewe unazo sifa za kuwa mume? Unakutana na wa kufanana na wewe ndo maana unalalamika. Good women still exist. Halaf wewe siyo malaika. Period...! Mnapendwa sana, mnaheshimiwa sana na kunyenyekewa halaf ndo mnaitumia kama nafasi ya kunyanyasa watoto wa watu na kuwafanya watumwa.