Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?

Screenshot_20211116-000752_1.jpg
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
 
Mmh! I don't give JPM even an iota of trust. The man was hopeless from his skin to his soul .
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?

View attachment 2012229
Mto Ruvu hauna uhusiano wo wote na mto Rufiji. Mto Rufiji ndiyo mto mkubwa na mrefu kuliko mito yote nchini Tanzania na hata siku moja haujawahi kupungukiwa maji. Pale kwenye Stigler's gaudge ya mto huu ndipo tunajenga JNHPP. Great Ruaha ni moja ya tributaries zake kubwa. Mto huu haupitii DSM bali Mafia mkoani Pwani maili takribani 200 kusini ya DSM.
 
Sexless wewe umetumwa na Makamba upime kina cha maji ? Upuuzi wowote atakaofanya Makamba kuhujumu mradi wa JNHPP utammaliza kisiasa, Tanesco imeshamshinda asijaribu sasa kuhujumu na mradi muhimu wa kitaifa wa JNHPP.
Watahangaika sana hawa mafisadi, lakini wakichezea mradi huo hawatapona.

Sasa tusemeje, kwa vile mradi wa maji hautegemewi kuzalisha umeme kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa; mbona hatusikii jambo zito zaidi kuhusiana na hali hiyo, zito zaidi ya kuzalisha umeme ikisemwa?

Chakula mtatoa wapi kama hali itakuwa mbaya kiasi hicho. Kama hufikirii hilo kwanza kichwani, halafu unakimbilia umeme, watu wasielewe kwamba mtu huyo ana lake jambo?
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Mbona kwenye ndege alipiga na bado tumelula hasara hadi leo shirika bado hata mishaharatu ya wafanyakazi haliwezi kugenerate mpaka unajiuliza kwani abiria wanapanda bure?

Magufuli alianzisha miradi ajipigie 10% tu.
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Kwani alishatutia hasara ya mabilioni mangapi tangu akiwa Waziri wa Ujenzi,Uvuvi na hata Rais?
 
Pale maji hubaki kama mfereji tu kiangazi.

Huwezi tegemea umeme wa maji huku ukiharibu miti/mazingira.

Haya hiyo rufiji tutakuja kuambiwa kina kimepungua.
Nguvu iliowekwa kujenga mitambo ya umeme ilitakiwa kuweka nguvu mara mbili ya kutunza na kuboresha mazingira.
Mazingira bora yamepuuzwa mno kwa kipindi kirefu. Naota Bwawa la Nyerere linageuka tembo wa kuchonga.
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?

View attachment 2012229
Brainless person.
 
Back
Top Bottom