Maji tunayongelea hapa ninkwa ajili ya hydropower, which requires a specific threshold ili turbines ziweze kuzalisha umeme , kama unakumbu kumbu vizuri ukame ukishamiri Tanesco huwa wanafunga baadhi ya mabwawa kwa sababu kiwango cha maji kinakuwa hakitoshi kuzalisha umeme
Maji ya kunywa na matumizi ni tofauti kabisa na maji ya kuzalisha umeme, tuna water table nzuri ambayo i aweza kusustain matumizi ya binadamu, kuna maziwq nayo yanaweza kutumika pia .
Tunapoongelea hydropower , tunongelea zaidi maji ya mito inayotiririsha maji, na hii ndio ipo vulnerable sana na climate changes.