Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

Wewe sio sexless Bali headless sababu hata unachoongea hujui
Mkuu..

Unaweza kuona mleta mada mwenyewe ni mtu wa aina gani
Screenshot_20211116-153331.jpg
 
Kasome vizuri kuhusu bwawa kaborabasa.. au umetunwa mzee??[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kusoma Tete mozambique nimeishi kabisa wakati nahangaika na maisha , hilo bwawa halina maajabu na huwezi linganisha na project yetu ,weka huru akili yako utagundua kuwa the late alikuwa miss informed.
Mngekuwa mnafatilia mambo ya climate change, Mwaka 2006 Al gore aliwahi kutabiri mengi yanayotokea sasa ikiwemo ongezeko la joto na mito kukauka , hakukuwa na sababu ya kuanza project ya hydropower Rufiji kwa wakati huu.
 
Kwahio unataka kusema ndio mwisho wa dunia…maana maji ya kikauka tutaishije mkuu
 
Mito na mabwawa inakauka baada ya JPM kufariki. Ni swali gumu sana..
Huo ni mkakati wa kuhalalisha upigaji na kuchelewesha kukamilika kwa mradi! Wao wajenge huo mradi kisha wakajenge wao wa gas faida zote itakuwa ni kwa wananchi wote!
 
Sio kusoma Tete mozambique nimeishi kabisa wakati nahangaika na maisha , hilo bwawa halina maajabu na huwezi linganisha na project yetu ,weka huru akili yako utagundua kuwa the late alikuwa miss informed.
Mngekuwa mnafatilia mambo ya climate change, Mwaka 2006 Al gore aliwahi kutabiri mengi yanayotokea sasa ikiwemo ongezeko la joto na mito kukauka , hakukuwa na sababu ya kuanza project ya hydropower Rufiji kwa wakati huu.
Kwa nchi za tanzania bado ni changamoto kwa sbsb kwenye suala la mitigation of climate change..hata gas hawataki itumike..makaa ya mawe hawataki yatumike bali wanaprimote umeem wa upepo..maji..na jua...lakini hata ulaya gharama za renewable energy ni kubwa hasa kuzalisha unit moja ya umeme wa upepo..jotardhi..etc..
Niwaambie mabadiliko ya Tabia nchi yamekuwwpo miaka mingi..mfabo miaka ya 71 tulikuwa na ukame sana...na hizo cycle za mabaraa yq juq huwa hayaishi...kama unadhani maji yatakauka rufiji ..je unadhani ikifikia hivyo binadamu atqishi vipi..so siamnini maji kukqukq kilomberonq rufiji
 
Unajua watanzania wengi tuna akili fupi sana; yaani tunaanza kuaminishwa kuwa mradi huo hautufai, kusudi tuuuwe tile tuendelee kupigwa kwenye umeme. Kumbuka kuwa mradi ulipata upinzani sana kwa waliodai mazingira (Wakati huo Makamba akiwa waziri) lakini Magufuli akausukuma. Sasa wanatafuta njia za ku-undo mradi huo bila hata kujali investment ambayo imeshafanika pamoja na long term benefits zake. Watanzania tulivyo bendera fuata upepo tumeanza kubadilisha ulekeo wa bendera.
Na huo ndio mtaji wa CCM! Wanasema ukitaka kumuua mbwa muite jina baya kwanza...Ni swala la muda tu watageuzia nguvu kwenye gesi ambayo kule wana maslahi yao 10%!

Huu mradi wa Magufuli haukuwa ,na loopholes za kudokoa wale walafi hawapati kitu kwa muendelezo wake ndio maana wanaupinga sana.
 
Kwa nchi za tanzania bado ni changamoto kwa sbsb kwenye suala la mitigation of climate change..hata gas hawataki itumike..makaa ya mawe hawataki yatumike bali wanaprimote umeem wa upepo..maji..na jua...lakini hata ulaya gharama za renewable energy ni kubwa hasa kuzalisha unit moja ya umeme wa upepo..jotardhi..etc..
Niwaambie mabadiliko ya Tabia nchi yamekuwwpo miaka mingi..mfabo miaka ya 71 tulikuwa na ukame sana...na hizo cycle za mabaraa yq juq huwa hayaishi...kama unadhani maji yatakauka rufiji ..je unadhani ikifikia hivyo binadamu atqishi vipi..so siamnini maji kukqukq kilomberonq rufiji
Hata bahari ina kupwa na kujaa! Kwani kidatu mara ngapi kina kilipungua ila kikarejea tena kwenye form?
 
Vipi kuhusu miradi ya umwagiliaji na kuhifadhi maji kwa ajili ya kusambaza Dar in case of water shortages....

Atakuchosha huyo mdau wa LNG…yuko kwenye payroll ya mabeberu wa mafuta na gesi….utasema Tanzania ina viwanda basi vyakutumia hio gesi sasa…

Bwawa la Nyerere lijengwe hio LNG km wanataka kuinywa wainywe maana wao ndio wanachokitaka kuwanufaisha wenye viwanda vyao nje…sisi watanzania tunataka umeme wa gharama nafuu tupunguze misongo ya mawazo
 
Hivi Jiwe ni mtu wakuaminika kweli? Labda uwe masikini au uelewa wako wa mambo uwe mdogo ndiyo unaweza kumwamini jiwe.
Bomoeni kila alichojenga kwa miaka 5 yake halafu mfanye mazuri zaidi shitholes! Wakati wa awamu ya mlikuwa mnalia lia huduma za kijamii kuzorota watoto wanakalia mawe na ada na michango tele!

Umeme wa mgao kila kukicha huku watu wanakula rushwa kila kona ni dili tu hufanikishi lako bila kuchomolewa hela.

Watu wachache wako juu ya sheria wanaharibu vizazi vya wenzao kwa madawa mateja kila kona ya mji! This was better kwenu hadi mwanae aliposhikwa uchina na kutaka kuuza gesi kwa mkataba wa kipuuzi!

Oh hela ilikuwepo sana Magu kabana hayupo sasa hizo hela mlizosema zimebaniwa si hayupo sasa muwe nazo kama awamu ya 4! Hela chafu iliwazuzua sana makima nyie.

Hebu bomoeni kila kitu flyover barabara 8 na stendi na masoko kila mahali ili hali irudi kuwa kama awamu ya 4 qumamae zenu! Uzeni ndege na kila alichofanya halafu tuone hayo ya maana mtakayofanya zaidi yake ndani ya miaka 10!

Waja laana nyie... kila mtu ana mapungufu yake ila mazuri yamefanyika wenye akili tumeyaona khabith kabisa nyie.
 
Atakuchosha huyo mdau wa LNG…yuko kwenye payroll ya mabeberu wa mafuta na gesi….utasema Tanzania ina viwanda basi vyakutumia hio gesi sasa…

Bwawa la Nyerere lijengwe hio LNG km wanataka kuinywa wainywe maana wao ndio wanachokitaka kuwanufaisha wenye viwanda vyao nje…sisi watanzania tunataka umeme wa gharama nafuu tupunguze misongo ya mawazo
Hawa kenge wanatafuta dili ambazo zitawapa upigaji endelevu, na hii ni mbaya sana kwa nchi kuwa na aina hii ya viongozi wapigaji......
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Yule Mzee alikuwa Mpigaji plus Kilaza, shida sana.
 
Bomoeni kila alichojenga kwa miaka 5 yake halafu mfanye mazuri zaidi shitholes! Wakati wa awamu ya mlikuwa mnalia lia huduma za kijamii kuzorota watoto wanakalia mawe na ada na michango tele!

Umeme wa mgao kila kukicha huku watu wanakula rushwa kila kona ni dili tu hufanikishi lako bila kuchomolewa hela.

Watu wachache wako juu ya sheria wanaharibu vizazi vya wenzao kwa madawa mateja kila kona ya mji! This was better kwenu hadi mwanae aliposhikwa uchina na kutaka kuuza gesi kwa mkataba wa kipuuzi!

Oh hela ilikuwepo sana Magu kabana hayupo sasa hizo hela mlizosema zimebaniwa si hayupo sasa muwe nazo kama awamu ya 4! Hela chafu iliwazuzua sana makima nyie.

Hebu bomoeni kila kitu flyover barabara 8 na stendi na masoko kila mahali ili hali irudi kuwa kama awamu ya 4 qumamae zenu! Uzeni ndege na kila alichofanya halafu tuone hayo ya maana mtakayofanya zaidi yake ndani ya miaka 10!

Waja laana nyie... kila mtu ana mapungufu yake ila mazuri yamefanyika wenye akili tumeyaona khabith kabisa nyie.
Povu la kisuma hili, lakini ukweli utabaki pale pale
 
Kwahio unataka kusema ndio mwisho wa dunia…maana maji ya kikauka tutaishije mkuu
Maji tunayongelea hapa ninkwa ajili ya hydropower, which requires a specific threshold ili turbines ziweze kuzalisha umeme , kama unakumbu kumbu vizuri ukame ukishamiri Tanesco huwa wanafunga baadhi ya mabwawa kwa sababu kiwango cha maji kinakuwa hakitoshi kuzalisha umeme

Maji ya kunywa na matumizi ni tofauti kabisa na maji ya kuzalisha umeme, tuna water table nzuri ambayo i aweza kusustain matumizi ya binadamu, kuna maziwq nayo yanaweza kutumika pia .

Tunapoongelea hydropower , tunongelea zaidi maji ya mito inayotiririsha maji, na hii ndio ipo vulnerable sana na climate changes.
 
Usilinganishe ruvu na Rufiji. Rufijini na issue nyingine.. Kama unabisha nenda pale Rufiji daraja la Mkapa halafu jizamishe uone kina cha maji yanayopita.
Mito inayopitisha maji mwaka mzima huwa inakina kirefu sana na maji huwa yanakasi kwa chini juu yametulia.....
 
Pale maji hubaki kama mfereji tu kiangazi.

Huwezi tegemea umeme wa maji huku ukiharibu miti/mazingira.

Haya hiyo rufiji tutakuja kuambiwa kina kimepungua.
Hebu tuelezee miti inaharibikaje na mazingira. Maana vijana siku hizi mnapotoka kirahisi.

So unataka nambia kuwa ile project haijazingatia ulinzi na usalama wa baioanuwai (ecosystem) ya lile eneo?!
 
Na yeye alikuwa mis informed, umeme wa maji dunia ya leo sio wa kuutegemea .
According to wazungu. Acha kufananisha changamoto za wazungu na zetu. Sisi tuna misitu mingi sana na mvua za kutosha kuwa na supply ya maji ya kuzungusha yale madubwana kwa kipindi kirefu.

Huo ni uoga mnapewa na wapigaji ambao wanataka tusiwe na project kubwa ya umeme kama hiyo ambayo ita supply umeme wa kutosha kwa taifa na majirani.

Huu umeme ukitaka kujua unawezekana tazama wachina wanavyosapoti sababu wanajua ndio watakuwa wabia katika uwekezaji wowote wa kiviwanda na technology.

Marekani anaogopa sana hiyo kitu ndo maana anapiga vita.
 
Back
Top Bottom