We bhana unachosha...Nani kasema mradi wa gesi usiendelezwe?
Nioneshe nani kasema hivyo?
Tafuta threads za misukule wenzako uone wanavyotoa povu!!
Na mambo mengine unatakiwa kutumia tu common sense...
Ikiwa hapa wanafikia kutoa povu hata suala la PM kuagiza kukaguliwa kwa vyanzo vya maji vya Mto Ruvu na kudai eti hilo agizo linalenga kuonesha Mradi wa Bwawa wa Nyerere haufai, sasa nini kinakushangaza ukisikia Misukule wenzako wanatoa povu na kudai eti lengo la LNG ni kutaka kuonesha Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai?