Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

Kama taifa tunajiandaa vipi kukabiliana na upungufu wa mvua hususani katika kulinda mazingira na vyanzo vya maji ya mito yetu nchi nzima. Bunge nimemaliza kikao juzi , kimya. Serikali nayo kimya. Vyombo vya habari hata vya umma, kimya. Wachoma mkaa wanaongeza bidii, mamlaka husika kimya. Wafugaji wanaendelea kuchafua mazingira na kuwa tishio dhidi ya vyanzo vya maji ya mito. Kila mtu kimya. Sasa umma utahamasishwa na nani kuchukua hatua za tahadhari. Tutafakari.
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Kwaio zile ndege alijua zitaleta faida sio? Naona unatuthibitishia ujuha wake
 
Kama taifa tunajiandaa vipi kukabiliana na upungufu wa mvua hususani katika kulinda mazingira na vyanzo vya maji ya mito yetu nchi nzima. Bunge nimemaliza kikao juzi , kimya. Serikali nayo kimya. Vyombo vya habari hata vya umma, kimya. Wachoma mkaa wanaongeza bidii, mamlaka husika kimya. Wafugaji wanaendelea kuchafua mazingira na kuwa tishio dhidi ya vyanzo vya maji ya mito. Kila mtu kimya. Sasa umma utahamasishwa na nani kuchukua hatua za tahadhari. Tutafakari.
Kwa hakika hali siyo nzuri hata kidogo
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?

View attachment 2012229
Hao Wazungu wawaqonye Ethiopia na Misri kwa kutegemea umeme wa maji. Tafakuri na uelewe jinsi Dunia inavyokwenda. Umeme Ethiopia ndio karibu utaanza maana yale ma-dam yameshajazwa.
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?

View attachment 2012229
Haya! Kazi na iendelee. "This strategic project is as a white elephant as the Chato International Airport".
 
Pale maji hubaki kama mfereji tu kiangazi.

Huwezi tegemea umeme wa maji huku ukiharibu miti/mazingira.

Haya hiyo rufiji tutakuja kuambiwa kina kimepungua.
Hata mimi nimeshangaa kuna wakati maji yanabaki kama mto msimbazi labda wakat wa mvua ndio panajaa
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Kwani JPM si ni binadamu. Au ana uwezo wa kipekee kuhakikisha kuwa maji hayakosekani? JPM ni vile kapumzika mapema, ingependeza awepo ili uwaprove watu right or wrong. Binafsi umeme wa maji kwa hali ya tabia ya dunia ya sasa sioni kama ni movement sahihi. population inaharibu sana mfumo wa maji wa dunia.
 
Mwangalieni huyu...

Hivi kuna mto usiopungua maji?!

Ni mara ngapi hiyo Great Ruaha imekuwa ikikumbwa na changamoto ya kukauka?!

Na kama Great Ruaha pia huwa inakubwa na hiyo changamoto, sasa nini kitafanya Rufiji isipungue maji no matter what?!

Btw, hivi unaifahamu Mafia unayosema eti ndiko unakopita Mto Rufiji?
Hivi ndugu yangu, ni kwamba hujui kuwa ni kuna bwawa la kuhifadhi maji linajengwa sambamba na na mitambo ya kuzalisha umeme kutoka kwenye hilo,

Au unamaanisha umeme utazalishwa mojamoja kutoka maji ya mto,

Nini maana ya bwawa.

Leo Leo tunategemea upungufu wa maji Dar kutokana na kutegemea maji ya mto yanayotiririka badala ya kuwa na bwawa la kuhufadhi maji kwanza,

Ujinga mtupu
 
Mlidhani climate changes (mabadiliko ya tabia nchi) ni uongo uliokomaa...na unawahusu mabeberu tu...
Yule mfu na akili yake angewabebesha ndoo za maji mkaujaze mto .....
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?

View attachment 2012229
Mngemuacha amalize ngwe yake ndio tukosoe,mmemua kabla hajamaliza ngwe yake,halafu mnaleta utoko hadharani, pathetic
 
Hii Tz imejaa machawa na maboga mengi yanayojifanya machambuzi.Badala ya kukaa kulaumu mtu mmoja ambae ameshavuta kwanini msifanye nyinyi na serikali yenu miradi ambayo itakuwa bora zaidi ya hii? Kabla ya JPM mlifanya kipi kwa uzuri mnaounasibu humu? Sasahivi mnafanya nini kizuri zaidi ya kile cha JPM?

Kuweka mambo sawa, bomoeni hilo bwawa,bomoeni madara,bomoeni stendi site na muuze ndege zote ili mfanye mnayotaka kufanya.Hizi brabra za kutaka kuonyesha kila alichowahi kufanya JPM ni kibaya hazitasaidia.

Jf ina wajinga na intarahamwe wengi sana, they know a lot of nothing.
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?

View attachment 2012229
Mkuu, mto Rufiji ndio unameza maji ya mto Ruvu, Ruaha, Kilombero, na Kihansi. Maji ya mto Ruvuni tone tu ktk mto Rufiji Ili Nyerere Hydro ikaukuwe itabidi mikoa ya Iringa, Morogoro na Pwani ipatwe na ukame na mito yote hiyo ipungue ujazo wake.

Tofauti na mabwawa ya Mtera, Kidatu ambayo ya vyanzo vichache vya maji ni vigumu sana mto Rufiji kukosa maji ya kushindwa kuzalisha umeme.

Vv
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Hivi Jiwe ni mtu wakuaminika kweli? Labda uwe masikini au uelewa wako wa mambo uwe mdogo ndiyo unaweza kumwamini jiwe.
 
Wapi nimesema HATUHITAJI hydro-power?!

Kama ningekuwa sihitaji hydro-power how come nizungumzie suala la energy mix?

Nakushangaa wewe na uelewa wako wote lakini bado unaamini kwavile panajengwa Bwawa la Nyerere, basi miradi mingine isifanyike, na ikifanyika inakuwa na lengo la kumhujumu JPM....

Hivi issue ni ukubwa wa eneo au demand and supply for energy?!

Fanya assignment mwenyewe kufahamu what's modern energy modern access of an ordinary American halafu linganisha na modern energy access to Middle Class Tanzanians ndipo utafahamu issue hapa sio ukubwa wa nchi in terms of land mass!!

Ni kutokana na ukweli huo, ndo maana, Ethiopia yenye eneo kubwa na watu wengi kuliko Kenya lakini bado modern access energy ni takribani siku 700 wakati Kenya ni roughly 250 days!!

Na ndo maana, ingawaje South Africa hawajatuacha sana kwa ukubwa wa nchi in terms of area huku population zikikaribiana, lakini bado modern energy access kwa SA ni less than 30 Days huku Tanzania tukikaribia 400 days!!

Of course, from economic point of view, LNG Project is more economically viable ukilinganisha na Bwawa la Nyerere lakini kwa hapa tulipofikia, ni mjinga tu ndie anaweza kufikiria kuuacha Mradi wa Bwawa la Nyerere!!

LNG Project is more economically viable kwa sababu inaweza kutupatia KILA KITU tutakachopata kwenye Bwawa la Nyerere lakini Bwawa la Nyerere haliwezi kutupatia kila kitu kinachoweza kupatikana through LNG Project, kwa sababu, mbali na umeme... what else?!
Umepoteza muda bure kuandika gazeti hili. Kama lengo la serikali ni LNG, ili watu wapige, basi iwe hivyo. Hydropower itanyima watu upigaji.
 
Mkuu, mto Rufiji ndio unameza maji ya mto Ruvu, Ruaha, Kilombero, na Kihansi. Maji ya mto Ruvuni tone tu ktk mto Rufiji Ili Nyerere Hydro ikaukuwe itabidi mikoa ya Iringa, Morogoro na Pwani ipatwe na ukame na mito yote hiyo ipungue ujazo wake.

Tofauti na mabwawa ya Mtera, Kidatu ambayo ya vyanzo vichache vya maji ni vigumu sana mto Rufiji kukosa maji ya kushindwa kuzalisha umeme.

Vv
Huyu ni ile familia ya wapigaji wa gas, ambao sasa hivi anafanya mbinu za kuchelewesha na mwishowe kuua kabisa mradi wa hydropower. ndio ubovu wa nchi zinazojiendesha kibinafsi zaidi kiasi kuwa kila kiongozi anapoingia anaanza mambo yake binafsi bila kuangalia masalahi ya taifa.
 
Sexless wewe umetumwa na Makamba upime kina cha maji? Upuuzi wowote atakaofanya Makamba kuhujumu mradi wa JNHPP utammaliza kisiasa, Tanesco imeshamshinda asijaribu sasa kuhujumu na mradi muhimu wa kitaifa wa JNHPP.
Unavyoongea like hii nchi ni yenu wewe na babako
 
Mkuu, mto Rufiji ndio unameza maji ya mto Ruvu, Ruaha, Kilombero, na Kihansi. Maji ya mto Ruvuni tone tu ktk mto Rufiji Ili Nyerere Hydro ikaukuwe itabidi mikoa ya Iringa, Morogoro na Pwani ipatwe na ukame na mito yote hiyo ipungue ujazo wake.

Tofauti na mabwawa ya Mtera, Kidatu ambayo ya vyanzo vichache vya maji ni vigumu sana mto Rufiji kukosa maji ya kushindwa kuzalisha umeme.

Vv
Effects of climate change are real and devastating indeed. Kujipa moyo kwamba ukame hautatokea ni sawa na kuchamba kwa kiganja bila maji huku ukiamini kwamba unajisafisha.
 
Unavyoongea like hii nchi ni yenu wewe na babako
Acha sukuma gang ajifariji kwa kuandika dua la kuku amabalo kamwe halitakaa limpate mwewe. Makamba sasa Kama mwewe halafu sukuma gang ni kuku
 
Back
Top Bottom