Wanahujumu mradi kwa faida ya nani, au ili iwe nini?
Unajua nyie watu mmejazwa propaganda za ovyo sana kiasi kwamba mnaona mradi mwingine wowote ukianzishwa basi unalenga kuhujumu miradi ya Magufuli!!
Tokeni kwenye lindi la fikra mbovu...
Huwezi kuacha kutekeleza miradi mingine eti kisa kuna Mradi wa Bwawa la Nyerere...
Si mlikuwa mnadanganya kwamba zamani kulikuwa na mgao kwa sababu watu walikuwa wanaziba maji?
How come basi hata wakati wa Magufuli bado umeme wa maji ulikuwa ONLY 36%?
Kama watu wasingeanzisha mradi wa Umeme wa Gesi unao-supply 57% ya umeme wetu, je nchi ingekuwa katika hali gani?!
Au hivi ni lini Makamba or anyone ametangaza kwamba Mradi wa Nyerere "sasa basi"?
Yaani nyie kusikia watu wanaendelea na mradi wa gesi, oh wanataka kuhumu Mradi wa Bwawa la Nyerere... akili za ovyo kabisa hizi