copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Kama unaamini kuna mchezo sasahivi, kwanini usiamini pengine mchezo ulichezwa wajati ule?Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Yule bwana alikuwepo bungeni na serikalini kwa miaka 20 kabla, lkn sikumbuki kama nimeshawahi iona kura yake ya HAPANA kwenye miradi yote aliyokuwa anasema "nchi hii imechezewa sana".. To me he's no different from the rest!