Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

Naiona 2025 inavyo wanyima watu usingizi. Mama kuwa makini
Huu mradi ni mtego kwako kumbuka fedha nyingi zumeenda hapo .Leo hii mradi ufe! wananchi hawatakuelewa . Kumbuka bado unatembelea nyota ya JPM ambaye wapiga kura wanamlilia hata leo wameshindwa tu kumfufua. Ila wanafarijika na miradi alioiacha na pia inavyo endelea kukamilika.
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Elimu inahitajika Sana. Mtanzania ni kiumbe dhaifu Sana kufikiria mwenyewe. Sidhani Kama huo mradi ni hasara kwa taifa,ni siasa zetu za chuki na visasi ndizo zinaufanya mradi uonekane ni hasara.
Hata Kama magufuli alikuwa ni mbaya machoni pa siasa zetu za Tanzania lakini huyu mzee tokea akiwa waziri alikuwa mchapakazi Sana.
Bado anascore high kuliko wanasiasa almost woteTanzania hii.
Amefanya Mambo makubwa na ameendeleza vyema siasa zetu za kijamaa.

Unlike hawa wanasiasa uchwara wanaotaka hayati magufuli aonekane mbaya.
 
Kama unaamini kuna mchezo sasahivi, kwanini usiamini pengine mchezo ulichezwa wajati ule?
Yule bwana alikuwepo bungeni na serikalini kwa miaka 20 kabla, lkn sikumbuki kama nimeshawahi iona kura yake ya HAPANA kwenye miradi yote aliyokuwa anasema "nchi hii imechezewa sana".. To me he's no different from the rest!
Kuna taarifa au habari iliwahi andikwa na kusemwa kuwa, waziri wa kwanza kupewa ulinzi mkali na raisi alikuwa JPM, pia awamu fulani, aliandika barua ya kujiuzulu, ikakataliwa na pia hakufukuzwa kazi.

Sijui ukweli wa hizo taarifa, we unadhani inaweza kuwa kweli?
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?

View attachment 2012229
Mito na mabwawa inakauka baada ya JPM kufariki. Ni swali gumu sana..
 
Watahangaika sana hawa mafisadi, lakini wakichezea mradi huo hawatapona.

Sasa tusemeje, kwa vile mradi wa maji hautegemewi kuzalisha umeme kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa; mbona hatusikii jambo zito zaidi kuhusiana na hali hiyo, zito zaidi ya kuzalisha umeme ikisemwa?

Chakula mtatoa wapi kama hali itakuwa mbaya kiasi hicho. Kama hufikirii hilo kwanza kichwani, halafu unakimbilia umeme, watu wasielewe kwamba mtu huyo ana lake jambo?
Makamba ni fisadi kubwa sana. Limeqmza kujenga mazingira
 
Watanzania sisi sio WAJINGA. Tunaelewa vizuri kabisa kwamba magufuli alikuwa na Nia njema kwetu. Sio huyu January makamba ambaye kitengo ndani ya wizara yake(Tanesco) kimemshinda. Amebaki kuwa msemaji wa Tanesco utadhani sio waziri.
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Mto Rufiji ni mkusanyiko wa mito ya Kilombero,Luwegu na Ruaha mkuu.
Mwanzoni mwa miaka ya 70 wakati bwawa hilo linafanyiwa upembuzi yakinifu mito hiyo ilikuwa inatiririsha maji ya kutosha.

Leo hii mto Kilombero na Ruaha mkuu imevamiwa na makundi makubwa ya ng'ombe.
Wafugaji wanakata miti ovyo na Ng'ombe wanakanyaga kanyaga mabonde ya asili na hivyo kuvuruga mito hiyo.
Hali hiyo inapunguza maji yanayofika kwenye bwawa la umeme.
Pamoja na dosari hizo, NAUNGA mkono mradi huu.
Tuchukue hatu za lazima kuwatimua wafugaji kwenye mabonde yote ya mto Rufiji ili hatimaye mradi huu uendeshe shughuli zake kwa ufanisi miaka mingi ijayo.
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?

View attachment 2012229

Unalaumu mradi wa umeme wa maji?

Hujajifunza kitu wewe. Ingia hata google uone jinsu nchi nyingine zinazalisha umeme huo kwa bei Chee.

Shida iko kwa wahuju mradi na sio mradi wenyewe. Ngonjera kama zote..sarakazi kama zote
 
usilinganishe ruvu na rufiji.Rufijini na issue nyingine..kama unabisha nenda pale rufiji daraja la mkapa harafu jizamishe uone kina cha maji yanayopita
Unaongea as if maji ya Mto Rufiji ni chemchem inayomwaga maji kutokea hapo hapo!

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini miaka ya nyuma watu wa Kusini wakati wa masika walikuwa wanakaa pale hata wiki mbili, na wakati wa kiangazi walikuwa wanapita bila matatizo?!

Rufiji inategemea sana Ruaha... kuna mwaka nikiwa na akili zangu timamu Ruaha ilikuwa taabani, na hivyo hivyo Mto Rufiji ulikuwa taabani!!
 
Unalaumu mradi wa umeme wa maji?

Hujajifunza kitu wewe. Ingia hata google uone jinsu nchi nyingine zinazalisha umeme huo kwa bei Chee.

Shida iko kwa wahuju mradi na sio mradi wenyewe. Ngonjera kama zote..sarakazi kama zote
Wanahujumu mradi kwa faida ya nani, au ili iwe nini?

Unajua nyie watu mmejazwa propaganda za ovyo sana kiasi kwamba mnaona mradi mwingine wowote ukianzishwa basi unalenga kuhujumu miradi ya Magufuli!!

Tokeni kwenye lindi la fikra mbovu...

Huwezi kuacha kutekeleza miradi mingine eti kisa kuna Mradi wa Bwawa la Nyerere...

Si mlikuwa mnadanganya kwamba zamani kulikuwa na mgao kwa sababu watu walikuwa wanaziba maji?

How come basi hata wakati wa Magufuli bado umeme wa maji ulikuwa ONLY 36%?

Kama watu wasingeanzisha mradi wa Umeme wa Gesi unao-supply 57% ya umeme wetu, je nchi ingekuwa katika hali gani?!

Au hivi ni lini Makamba or anyone ametangaza kwamba Mradi wa Nyerere "sasa basi"?

Yaani nyie kusikia watu wanaendelea na mradi wa gesi, oh wanataka kuhumu Mradi wa Bwawa la Nyerere... akili za ovyo kabisa hizi
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Unajua watanzania wengi tuna akili fupi sana; yaani tunaanza kuaminishwa kuwa mradi huo hautufai, kusudi tuuuwe tile tuendelee kupigwa kwenye umeme. Kumbuka kuwa mradi ulipata upinzani sana kwa waliodai mazingira (Wakati huo Makamba akiwa waziri) lakini Magufuli akausukuma. Sasa wanatafuta njia za ku-undo mradi huo bila hata kujali investment ambayo imeshafanika pamoja na long term benefits zake. Watanzania tulivyo bendera fuata upepo tumeanza kubadilisha ulekeo wa bendera.
 
Kuna watu huanzisha mada ili mradi kuonesha Magufuli hakufanya lolote, haya hongereni sana.
Uvivu wa kufikiri uliozidi kiwango cha SGR....

Yaani kwavile Magufuli alianzisha Mradi wa Bwawa la Nyerere ndo basi tena miradi mingine YOOOOOOTE isifanyike?

Ili kiwe nini?

Hivi nyie watu mbona mna mawazo chakavu namna hii?!

Hivi seriously unaamini ni busara nchi kuwa na chanzo kimoja tu cha umeme?

Acheni mawazo ya ovyo nyie watu... hata kama kupenda, huko sio kupenda bali ni ujinga!!!
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?

View attachment 2012229
Ujinga ulioje.
Kwa vile mvua zimegoma basi na tusilime mwakani!
Stupidity at its worst.
 
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.

Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!

Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?

View attachment 2012229
Heading yako na content haviendani

Listen aisee… if you want to hate, basi hate responsibly

Don’t hate stupidly
 
Unajua watanzania wengi tuna akili fupi sana; yaani tunaanza kuaminishwa kuwa mradi huo hautufai, kusudi tuuuwe tile tuendelee kupigwa kwenye umeme. Kumbuka kuwa mradi ulipata upinzani sana kwa waliodai mazingira (Wakati huo Makamba akiwa waziri) lakini Magufuli akausukuma. Sasa wanatafuta njia za ku-undo mradi huo bila hata kujali investment ambayo imeshafanika pamoja na long term benefits zake. Watanzania tulivyo bendera fuata upepo tumeanza kubadilisha ulekeo wa bendera.
Yaani Kichuguu unatia aibu sana linapokuja suala la JPM....

Yaani PM kuagiza wataalamu kufuatilia vyanzo vya maji kwako unaona ni kumhujumu Magufuli?!

Yaani seriously, na usomi wako wote huo unaamini kuendeleza Mradi wa Gesi kunalenga kumhujumu Magufuli?

Bila shaka upo USA... unataka kusema USA wanategemea umeme wa Niagara Falls peke yake?!

Unaweza kutaja hapa ni wapi Makamba or anyone amesema Mradi wa Bwawa la Nyerere, sasa basi?

Ina maana hata wewe watu wapoteze muda kukuelimisha what's energy mix wakati am certain unafahamu?

Ingekuwa umeme wa maji ni wa kutegemewa kwa 100% kwa kiasi hicho, kwanini basi hata wakati wa Magufuli tuliyeambiwa amewatia adabu waliokuwa wanaziba maji lakini bado umeme wa maji ulikuwa ONLY 36% huku umeme wa gesi kwenye gridi ya taifa ukiwa 57%?
 
Back
Top Bottom