Ukweli una tabia moja; hautaki kudharauliwa. Ukijaribu kupingana ukweli utakwama wewe mwenyewe. Kama na wewe unaamini kuwa hatuhitaji hydro power basi hujui maana ya hydro power.
Wapi nimesema HATUHITAJI hydro-power?!
Kama ningekuwa sihitaji hydro-power how come nizungumzie suala la energy mix?
Nakushangaa wewe na uelewa wako wote lakini bado unaamini kwavile panajengwa Bwawa la Nyerere, basi miradi mingine isifanyike, na ikifanyika inakuwa na lengo la kumhujumu JPM....
Kuhusu Marekani, elewa kuwa ni eneo zaidi ya mara hamsini ya eneo la tanzania, na matumizi yao ya umemi ni makubwa zaidi ya mara mia ya yale ya Tanzania. Kwa hiyo hawana chanzo kimoja cha umeme, lakini kumbuka walianza na Hoover Dam kulisha umeme state zote za Magharibi ya marekani, na bado inafanya kazi mpaka leo.
Hivi issue ni ukubwa wa eneo au demand and supply for energy?!
Fanya assignment mwenyewe kufahamu what's modern energy modern access of an ordinary American halafu linganisha na modern energy access to Middle Class Tanzanians ndipo utafahamu issue hapa sio ukubwa wa nchi in terms of land mass!!
Ni kutokana na ukweli huo, ndo maana, Ethiopia yenye eneo kubwa na watu wengi kuliko Kenya lakini bado modern access energy ni takribani siku 700 wakati Kenya ni roughly 250 days!!
Na ndo maana, ingawaje South Africa hawajatuacha sana kwa ukubwa wa nchi in terms of area huku population zikikaribiana, lakini bado modern energy access kwa SA ni less than 30 Days huku Tanzania tukikaribia 400 days!!
Of course, from economic point of view, LNG Project is more economically viable ukilinganisha na Bwawa la Nyerere lakini kwa hapa tulipofikia, ni mjinga tu ndie anaweza kufikiria kuuacha Mradi wa Bwawa la Nyerere!!
LNG Project is more economically viable kwa sababu inaweza kutupatia KILA KITU tutakachopata kwenye Bwawa la Nyerere lakini Bwawa la Nyerere haliwezi kutupatia kila kitu kinachoweza kupatikana through LNG Project, kwa sababu, mbali na umeme... what else?!