Pale maji hubaki kama mfereji tu kiangazi.usilinganishe ruvu na rufiji.Rufijini na issue nyingine..kama unabisha nenda pale rufiji daraja la mkapa harafu jizamishe uone kina cha maji yanayopita
Kwa hiyo wewe unamuamini JIwe?Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Mmh! I don't give JPM even an iota of trust. The man was hopeless from his skin to his soul .Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Mto rufiji umepungua sana kina , hata ukipita pale darajani utaona, halafu sasa hivi shughuli za ufugaji zinaendeleq upande ule , tutegemee the worst.usilinganishe ruvu na rufiji.Rufijini na issue nyingine..kama unabisha nenda pale rufiji daraja la mkapa harafu jizamishe uone kina cha maji yanayopita
Na yeye alikuwa mis informed, umeme wa maji dunia ya leo sio wa kuutegemea .Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Mto Ruvu hauna uhusiano wo wote na mto Rufiji. Mto Rufiji ndiyo mto mkubwa na mrefu kuliko mito yote nchini Tanzania na hata siku moja haujawahi kupungukiwa maji. Pale kwenye Stigler's gaudge ya mto huu ndipo tunajenga JNHPP. Great Ruaha ni moja ya tributaries zake kubwa. Mto huu haupitii DSM bali Mafia mkoani Pwani maili takribani 200 kusini ya DSM.Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Watahangaika sana hawa mafisadi, lakini wakichezea mradi huo hawatapona.Sexless wewe umetumwa na Makamba upime kina cha maji ? Upuuzi wowote atakaofanya Makamba kuhujumu mradi wa JNHPP utammaliza kisiasa, Tanesco imeshamshinda asijaribu sasa kuhujumu na mradi muhimu wa kitaifa wa JNHPP.
Mbona kwenye ndege alipiga na bado tumelula hasara hadi leo shirika bado hata mishaharatu ya wafanyakazi haliwezi kugenerate mpaka unajiuliza kwani abiria wanapanda bure?Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Very correctMmh! I don't give JPM even an iota of trust. The man was hopeless from his skin to his soul .
Kwani alishatutia hasara ya mabilioni mangapi tangu akiwa Waziri wa Ujenzi,Uvuvi na hata Rais?Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Hata China watafunga three gorgesNa yeye alikuwa mis informed, umeme wa maji dunia ya leo sio wa kuutegemea .
Nguvu iliowekwa kujenga mitambo ya umeme ilitakiwa kuweka nguvu mara mbili ya kutunza na kuboresha mazingira.Pale maji hubaki kama mfereji tu kiangazi.
Huwezi tegemea umeme wa maji huku ukiharibu miti/mazingira.
Haya hiyo rufiji tutakuja kuambiwa kina kimepungua.
Brainless person.Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229