Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

Watu hawasomi jiografia ujue ndugu.
 
Utadhani wao ndo wanaleta mvua mbwa hawa.....
 
Mbona kwenye ndege alipiga na bado tumelula hasara hadi leo shirika bado hata mishaharatu ya wafanyakazi haliwezi kugenerate mpaka unajiuliza kwani abiria wanapanda bure?

Magufuli alianzisha miradi ajipigie 10% tu.
Sasa pale ATCL sio kosa la magufuri ni kosa la watendaji bodi ina watu wazembe na incompetent kwenye nafasi zao. Unataka magufuri aache kazi akawasimamie?!

Kumbuka pale wameajiriwa watu wanaojitanabaisha wanasifa ila upuuzi ndo unaendelea.

Swali ni moja, mbona fast jet waliweza kutoboa tena kwa safari za ndani tu sio kwa kutegemea watalii wala nini. Iweje ATCL ambayo ipo funded na serikali ichemke.

Ni us*ng* wa machoko wachache tu ndo maana hatutoboi.
 
Kwani alishatutia hasara ya mabilioni mangapi tangu akiwa Waziri wa Ujenzi,Uvuvi na hata Rais?
Sasa unataka kunambia waziri anapokuta sheria imepindishwa hana wajibu wa kuilazimisha na hata kama ittagharimu, hiyo hasara si ji matokeo ya uzembe wa waliomtangulia au uzembe wa wahusika?!

How do you blame someone kwa kusimamia sheria?! Mbona unakuwa naive kiasi hicho?!
 
leteni poloji zote na upuuzi wote,mradi wa bwawa la nyerere unaweza kumtoa mtu ikulu mchana kweupe,na pia unaweza kumfanya mtu akang'ara ikulu.sasa ipimeni sumu kwa kuonja muone,watz watakachojibu!!
 
Sijui kwa nini mijadala inayohitaji facts huwa mnaihamishia kwenye lawama!!!

Deforestation inayotokea kanda ya kusini inahitaji mzungu kukuhadithia? Kusini ndio kuna misitu mingi ya asili na artificial, na hadi sasa ninavyokwambia watu wanavuna mbao changa , misitu pekee wenye miti mikubwa ipo sao hill na kwenye mbuga ya selous,
Misitu huleta mvua deforestation huleta ukosefu wa mvua na hii ni fact sio lazima aseme mzungu.
 
Jamani Watanzania tujenge tabia ya kupanda miti kama tumepagawa, hali sio nzuri.
 
Chige hajasema kuwa hatuhitaji umeme wa Stieglers, kasema kuwa tunahitaji vyanzo vingi vya umeme ikiwemo w gesi
 
kwakweli inasikitisha sana aina ya watanzania.
 
Jamani Watanzania tujenge tabia ya kupanda miti kama tumepagawa, hali sio nzuri.
Na kupanda miti wal sio gharama. Kila kaya malai ilipo ikipanda ma kukuza miti mitano tu. Nchi nzima inakua kijani
 

Kwani mito inaanzia wapi…
 

Kvp…Kwani mito inaanzia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…