Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Kitambaa Cheupe mnapazingizia tu. Pana wastaarabu sana.

Izo sehemu mbili tajwa kwa level yangu ya dhambi, nimeona mengi sana.
Kaka tegeta kibo kuna Nyanga Za masalo mida mibovu zikuwa barabarani tu
 
Mkuu tembea uone,mafinga kuna mtaa unaitwa makuma road....
Ile sodoma na gomora haikufikia hapa makuma road...
Vingi vya laana nilivyokosa kuviona mikoa mingine pale niliviona kwa macho.
Tembea uone....
Njombe kuna mtaa unaitwa mtaa wa dhambi, pale hakuna dhambi isiyofanyika!
 
Hivi hii Sudan hotel ndyo ile GIRAFFE HOTEL zaman au nyingine maana huko tmk na miaka sijatembelea
 
Acha kuchafua Biashara za watu wewe:
Sudan Hotel Ina shida Gani kwani?
Mi mara nyingi nashinda hapo kwa kupunzika kula na kufanya kazi zangu:

Na hakuna shida yoyote:

Ule mtaa wa pili ndio una hao Malaya wanaojiuza:

Sudan Hoteli ni sehemu salama kabisa na sehemu nzuri ya wastaarabu kupata huduma za Kihoteli:

Acha kuhalibu biashara za watu kama hujui chochote:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…