Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Nyie ongeeni yote tu kwasababu hamjafika KITOBO ikiyoko Arusha, pale ni mahala Lucifer anapumzikia Sheikh
Kaka chuga mwamba nipo hapa, asiwaanbie mtu chuga hakuna mishemishe kama hizo velvet na Sudan Kwa hapa afrika mashariki Pambanisha na Nairobi huko au Kampala, Kwa bongo hapa nmezunguka hakuna starehe kuzid dar huko mikoani wamelala sana
 
Sizungumzii starehe na mada haihusu starehe, inahusu uchafu uliokithiri eneo flani, kukuta mahala wanawake watembea uchi na wajiuza kwa 3000/= pesa ya kitanzania ni starehe hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…