Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

hakuna cha kustua... we coca acha kuwa mshamba. unakuwa kama mlugha lugha bhana... umekuja lini town wewe
Mbona hujataja jina? Unaogopa nini sasa? Woiiiiih?

Kuna Airbnb, iko Tegeta, ni kufuru, Mashoga na mabasha, Malaya na makahaba, wanakutana humo, ni house party kwa kwenda mbelee. Lol

Hatariii tupuuu
 
Chai hii, taja jina la site, tukashuhudie wenyewe tumechoka kidanganywa
 
Biashara ya ukahaba na ufuska ni miongoni mwa biashara kongwe zilizodumu tangu enzi na enzi. Kuzikomesha ni ngumu mno!

Inasumbua sana mzazi ukizaa mtoto akajiingiza kwenye biashara za namna hiyo ikiwemo ushoga pamoja na matumizi ya dawa za kulevya. Malezi Bora kwa watoto ni jambo la msingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…