Tetesi: Nadhani viongozi wote mliofanya mikutano ya kimataifa mmeona changamoto ya lugha.

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.

Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu.

Nilipata kuhudhuria kongamano moja tulikua nawaganda kwakweli sisi kiingereza kinapiga chenga na hata wengi wanaokizungumza wanazungumza maneno machache Sana.
 
Nenda UDOM Kachukue PhD Yako, Mambo Ya Lugha Itajipanga Huko Mdomoni. Humuoni Ndalichako Anapiga Ngeri Ya Kiha Kwenye V8
 
Kiswahili automatically kila mtoto akizaliwa ataongea tu.

Me nashauri tu lugha ya kufundishia kuanzia chekechea iwe kiingereza tu.

Na wote wanaopinga lugha ya kufundishia kuanzia chekechea mbona watoto wao wapo shule za English medium na International schools?

Kwanini hawataki kuwaangalia watoto wa maskini wanaongia shule za public wasio na uwezo wa kupeleka watito wao English medium na International School?

Ifike mahali viongozi wanaosimamia Educational Policy waliangalie hili. Linaumiza na kudumaza watoto wengi wenye vipaji wa maskini kushindwa kucompete internationally kwa sababu ya kukosa confidence ya kuongea International language.
 
naona mkuu umeamua kumsema indirect waziri wa Elimu Prof Joyce maana sio kwa kupuyanga vile alafu ndo waziri wa elimu [emoji23][emoji23]
 
Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.

Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu.

Nilipata kuhudhuria kongamano moja tulikua nawaganda kwakweli sisi kiingereza kinapiga chenga na hata wengi wanaokizungumza wanazungumza maneno machache Sana.

Tunatakiwa kujua lugha zote vizuri
 
kizungu kina wenyewe (kwa mwandiko wa nape)
 
Kiswahili automatically kila mtoto akizaliwa ataongea tu.

Me nashauri tu lugha ya kufundishia kuanzia chekechea iwe kiingereza tu.

Na wote wanaopinga lugha ya kufundishia kuanzia chekechea mbona watoto wao wapo shule za English medium na International schools?

Kwanini hawataki kuwaangalia watoto wa maskini wanaongia shule za public wasio na uwezo wa kupeleka watito wao English medium na International School?

Ifike mahali viongozi wanaosimamia Educational Policy waliangalie hili. Linaumiza na kudumaza watoto wengi wenye vipaji wa maskini kushindwa kucompete internationally kwa sababu ya kukosa confidence ya kuongea International language.
Umesema kweli, hili ni jambo zuri japo mwanzo wake utakuwa mgumu kwa kuwa nachangamoto nyingi lakini ni jambo linawezekana.
 
Point of the week! Kwa kweli hata wale tunaoongea kakiingereza fulani, kuwa wakati unajikuta hata Kifaransa nacho kinahitajika. Sasa kama hata Kiingereza hauongei, utaishia kwenye halmashauri ya mji tu (laki 7 kwa mwezi).

Back
Top Bottom