ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua.
Yaani kitu kile kile cha protein ila anakirudia mtu wa hivyo me naonaga lazima intelligence yake itakuwa ni ndogo yaani utambuzi wake uko chini.Mtu ambaye IQ yake kubwa hawezi kutoka kula wali halafu ndani ya dakika kumi akapata mahindi akawaza ayachome.