Nadhani watu wanaopenda kula kula sana Huwa wanakuwa na uwezo mdogo wa kufikiria

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua.

Yaani kitu kile kile cha protein ila anakirudia mtu wa hivyo me naonaga lazima intelligence yake itakuwa ni ndogo yaani utambuzi wake uko chini.Mtu ambaye IQ yake kubwa hawezi kutoka kula wali halafu ndani ya dakika kumi akapata mahindi akawaza ayachome.
 
kumbe ukila cha protein hutakiwi kulirudia tena ndani ya nusu saa ndo unakuwa na iq kubwa

kuna watu tunakula tu hata hatujui tunapata madini gani kwenye hivyo vyakula

sie tunakula kama starehe wala sio kupata hayo madini unayo waza wewe?
 
Nchi inayoongoza kwa watu wake Kula Kula Sana ni marekani.
Jitathmini
 
🤔🤔🤔

Hivi ni lazima kuweka uzi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…