Nadharia ya demokrasia ndani ya CHADEMA na ukomo wa kipindi cha Uenyekiti

Ukomo ulikuwepo ila mwaka 2014 Mbowe alimtumia Lissu kubaka katiba ya chadema
 
Kama mtoa mada anavyo sema, hivi takwa la CDM ni zidumu fikra za Mbowe milele au?
 
Haya maajabu yanapatikana Tanzania tu.
ccm iliyotumia kila aina ya hila na nguvu kuhakikisha Lipumba anaendelea kuwa mwenyekiti wa CUF kwa muhula wa 6 ndiyo hiyo hiyo inayotumia kila aina ya hila, nguvu na matamanio kuhakikisha Mbowe haongozi tena CHADEMA.

Wonders will never cease.
 
CHADEMA hakiwezi kuiga ushetani.
Kwanza ccm katika ngazi zote hawana kifungu kinachoweka ukomo wa uongozi katika ngazi zote.

Unataka CHADEMA kiige huo ushetani ?
CHADEMA ingeiga hata 10% ya utaratibu wa ukomo wa uongozi katika CCM, wangekuwa mbali.
 
CHADEMA hakiwezi kuiga ushetani.
Kwanza ccm katika ngazi zote hawana kifungu kinachoweka ukomo wa uongozi katika ngazi zote.

Unataka CHADEMA kiige huo ushetani ?
Definition ya ushetani ni ya kwako na imagination yako.
Its a product of your infertile imagination.
Kuiga au kutoiga mambo na taratibu njema ni hiari yako na chama chenu.
Die as dinasaurs if it pleases you!!!
 
True, only in Tanzania it is possible kwa CHADEMA kuwalaki left overs wa CCM.
Lowassa, Sumaye na Kingunge.
Only in Tanzania!!!

Whathappened to them is beyond imaginattion, haijawaongezea afya wala shibe wana CHADEMA.
 
Acha watawale milele maana kila siku wanapiga kelele ohhh hakuna demokrasia kumbe jambo lolote linatakiwa lianzie nyumbani ndo uende nalo nje.
 
MSIGWA anajitetea huko kisutu so aliye huko aripoti ili tuone hoja, maswali na majibu yake
 
Mkuu Jidu, kwanza kuhoji jambo lolote kuhusu uendeshaji wa Chadema, sio kiherehere, bali ni haki yako kikatiba, kisheria, kikanuni na kiutaratibu kwasababu Chadema ni public party na sio private party, kitu chochote ambacho kinalipwa by taxpayers money, ni public entity, the public has the right to know its affairs na hakina ile kinga ya the rights to privacy kwa public monies.

Tena kwenye nchi za wenzetu, viongozi wote wa umma, their public and private conduct is public rights, hata akionekana tuu barabarani na mdada wa mtaani, ni disgrace to public office, Bill Clinton alitaka kufanyiwa impeachment kwa kosa la ku disgrace the oval office kwa kosa dogo tuu la kumpiga busu la mapenzi, intern Monica Lewinsky kwenye ofisi ya umma. Salama yake ni Monica Lewinsky mwenyewe ndie alimkingia kifua Clinton kwa kutoa ushahidi kuwa ni yeye Monica ndiye aliyatamani busu la Clinton na kula kiapo kuwa affair hiyo iliishia kwenye busu tuu na haukumaliziwa kwenye yale mambo!. Huku kwetu public officers paid by taxpayers money, sio tuu wanapiga mabusu watu wasio wenzi wao, bali hata kuwazalisha kabisa na kitu ambacho ni immorality lakini sis hukui kwetu ni ok kabisa, halafu watu wana preach morality!.

Hili la udikiteta Usultani wa Chadema, niliuzungumza napa

P
 
CCM wanagangaika na demokrasia ndani ya CDM wakati Jiwe anaendesha chama chao kama shamba lake binafsi
 
Umesema kweli mkuu.
Nimejiita kuwa na kiherehere maana najua watu ninaoongea nao na nimewarahisishia fikra.
Na majibu yao yana jionyesha level of thinking
..Shughulikeni na makando kando ndani ya chama chenu CHADEMA si level yako!
Mtu kama huyu hapo juu umemjibu haswa kama ipasavyo, na wako wengi sana wenye mawazo hafifu kama huyu.
Wasi wasi wangu ni kama wanaelewa uwajibikaji wao kwa umma au la.
Most think CHADEMA is a quasi-private political party, hivyo hawajibiki kwa lolote na kwa yeyote.

Hii laissez faire ya kisiasa ndo inaleta masultani kama Mbowe na genge lake kudumu daima dumu.
I have nothing against Mbowe as a person, lakini kisiasa, uvundo wa kukosa demokrasia unanuka sana hivyo denying CHADEMA the moral authority kuongea lolote kuhusu demokrasia nchini.
 
CCM haina haja uchaguzi, nashangaa hakuna mtu anaiongelea, wivu tu, chama Nchi nzima, kila Kata, kila kijiji, kila kitongoji, mbowe noma, mtajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…