Nadharia ya demokrasia ndani ya CHADEMA na ukomo wa kipindi cha Uenyekiti

Kwani mwenye pesa kufadhili chama ni Mbowe peke yake?
 
Usilete porojo, Zito akiwa naibu katibu mkuu wa Chadema aliwahi kusema hata pesa iliyoanzisha gazeti la Tanzania daima ilikuwa pesa iliyotolewa msaada na Conservative Party ya Uingereza kuisaidia Chadema na Mbowe hakuwahi kukanusha tuhuma hizo. Mbowe ni jambazi mzoefu.
 
Hebu niambie we democrasia unajua maana yake nini?
 
Mkuu tumeshasema huko nyuma.....Mbowe wa 1980s hawezi kuwa solution ya 2020.........


Waingereza wanasema you can fool some of the people ALL the time, and you can fool all the people SOME of the times.
BUT you cannot fool ALL the people ALL thr time.
 
Hata mimi nimesema baada ya project yake ya Lowasa kushindwa alipaswa kuachia ngazi. Wanachama wangeshinikiza kwa hilo si hii habari ya ukomo. Tatizo huyu Mbowe ana mambo yanayomfanya ahofu kutoka kama haya madeni hewa anayokida chama.
Mbowe aage tu kistaarabu kulinda hisoria yake.
 
Kwa
Kwani mwenye pesa kufadhili chama ni Mbowe peke yake?
Kwani amekwambia yeye tu ndiye anayetoa hizo fedha?Kama mwenyekiti wa Chama,ana dhamana ya kukopa mahali popote kwa kutumia jina lake
 
Pambafffffffffffffffff wewe na kizazi chako chote...ni misukule mwenye akili ndogo tu mtaelewa..muhimu mshaurini mwenyekiti wenu aimarishe chama chenu...Mbowe ni mwenyekiti anayewanyima kunya,,,frankly mnatamani muwe na tawi la nyinyiemu ndani ya CHADEMA na imeshindikana....
 
"Mkuu" umeishia darasa la ngapi?
 

Well said mkuu na ajabu ni kuw ahawataki kusikia hayo ya TANU na hata CCM ya mwanzoni kabla 1990 Nyerere ajangatuka.
Tena kwasasa mazingira ni magumu zaidi kuliko kipindi cha mkoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…