Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi wa kwanza walizaliwa na naniKwa nini unahitimisha moja kwa moja kwamba tuliumbwa, wakati bado hauna uthibitisho huo?
Hivi wewe mwenyewe uliumbwa au ulizaliwa na wazazi wako?
Hakuna binadamu aliyeumbwa.
Binadamu hawaumbwi wala hawaletwi duniani.
Binadamu wanazaliwa duniani kupitia wazazi wao.
Mbona hujiulizi huyo unayedai kaumba binadamu na yeye aliumbwa na nani?Sasa binadamu ametokeaje duniani, nadhani ndio nadhalia ya mtoa mada ilipokuja ya kuumbwa.
Walizaliwa na wazazi wao.Wazazi wa kwanza walizaliwa na nani
Kwa sababu amezaliwa duniani ndio maana yupo duniani.Kwanini binadamu yupo duniani?
Hakuna akili hapa boss. Hapa ni imani. Ujitoe ufahamu uamini. Ukitumia akili kufikiri hii nadharia yako utagundua haina logic yoyote na ndivyo ilivyo kwenye masuala ya imani.TUKIANGALIA ASILI YA MWANADAMU KUANZIA MWANZO KABISA.....
Mungu hakutuumba ili tuishi hapa Duniani bali alikusudia tuishi huko mbingu nyingine.
Kama umesoma dini "in details" utakuwa unafaham kuwa zipo mbingu (universe 7) na hii ya kwetu ikijumuisha Sayari zote ndio ya kwanza kabisa kutokea chini.
Sasa baada ya kuwa tumemkosea kupitia kwa baba yetu Adam, Mungu akaona atushushe huku mbingu ya chini kabisa kama sehemu ya Mtihani........TAMBUA KUWA, HAPA TUPO KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI
Kwa wale watakaofaulu, wakitwaliwa watarudishwa ile mbingu aliyokuwa akiishi Adam na mkewe Hawa(kabla ya kushushwa Duniani) na wale watakaofeli basi watapata adhabu kali sana.
Na hii inaingia akilini kabisa kwani haiwezekani, haya majizi, wachawi, wanaotesa wengine bila sababu, wauaji nk nk yapite tu hivi hivi; Lazima kuna mahala haki itatolewa.....
Kwa bahati nzuri Mungu kwa upendo wake akatupa na "marking scheme" kabisa ambayo ni QURAN pia Torati, Zaburi na Injili/Biblia kwa vizazi vya nyuma; kazi kwetu, kufaulu mtihani
Nirudi kwenye mada; Ukiambiwa kusudi la kuletwa duniani ni kumuabudu Mungu...maana yake ni kuwa, Watu wakinyenyekea kwa Mungu, watafanya matendo aliyo yaamrisha (kuepuka Wizi, Uchawi, kupunja kwenye mizani, kupindisha sheria, Uasharati nk) na hivyo kufaulu mtihani.
HUWEZI KUSEMA UNA MUABUDU MUNGU HALAFU UNAFANYA MATENDO MACHAFU ALIYOYAKATAZA , HUKO NI KUUCHAFUA UTUKUFU WA MUNGU!
Kwa utalaam uliopo hapa duniani hadi sasa hatujaweza kuona huko nyuma ya Jua kuna nini, inamaana hata mbingu ya pili hatuna elimu nayo....
Duh Hoja Fikirishi Sana natamani Upate Challenge za Kisomi Tujifunze ZaidiNimekuwa nikisema mara nyingi kuwa sikubaliani na fundisho la Dini hizi( Abrahamic religion/ ukristu, uislamu, na Judaism) kuhusu sababu kwanini binadamu tumeumbwa duniani
Mafundisho ya Dini hizi yanasema bila aibu kwamba ; 👇👇👇👇
" Mwenyezi Mungu alituumba wanadamu ili tumuabudu"
Nikasema kuwa hoja hii ni ya kitoto sana Kwa sababu kwanza inakwenda kinyume kabisa na sifa za Mungu kama zilivyo andikwa kwenye Biblia, Qur'aan na Talmud.
Kwa mujibu wa mafundisho ya vitabu hivyo ni kwamba Mungu ni Mwanzo na Mwisho. Hana Mwanzo wala mwisho . Wala hafananishwi na kitu chochote Kile.
Amekamilika na anajitosheleza Kwa kila kitu.
So unaposema " Mungu ametuumba ili tumuabudu", tafsiri Yake ni kwamba unasema " Mungu na yeye ni muhitaji. Anahitaji kuabudiwa" Ndio maana wasio muabudu kwa mujibu wa mafundisho hayo watachomwa kwenye moto wa Jehanamu..
Nikawauliza mashekhe na wachungaji.
Okay mnasema Mungu ametuumba ili tumuabudu Je tusipo muabudu atapungukiwa na Nini? Wakajiuma uma wakasema " Hatopungukiwa na kitu"
Nikawauliza Tena " Je tukimuabudu Mungu kitu gani kitaongezeka kwake?
Jibu likawa . Hakuna kitu.
Then nikawauliza kama ndo hivyo Sasa Kwa Nini mnasema Mungu ametuumba ili tumuabudu?
Majibu yao ni vitisho vitisho tu vya kitoto.
Ila sijawalaumu Kwa sababu najua tofauti Kati ya Dini na sayansi katika suala zima la kutafuta majawabu ya maswali ambayo universe inatuuliza ni moja.
Religion is searching for the answers from the conclusion where are science is searching for the answers towards the conclusion.
Kwa mfano swali " Hivi Kwa Nini binadamu tupo duniani?"
Dini tayari imesha conclude kwamba tupo hapa Kwa ajili ya kumuabudu Mungu but science bado inatafuta majibu.
As u can see tayari Dini imekuweka kwenye corner ya " Tumeumbwa ili tumuabudu" So udadisi wako lazima Uwe revolved around " Tumeumbwa ili tumuabudu"
Uanze kutafuta dalili kwenye nature ambazo Zina suggest kwamba Mungu ametuumba ili tumuabudu. ( The nature does not suggest this )
Ukiniuliza nina fikiri ni Kwa Nini sisi tupo hapa duniani, jibu ambalo ni sahihi kuliko yote ni hili hapa chini👇👇👇👇👇
Anaejua sababu halisi Kwa Nini sisi wanadamu tupo hapa duniani ni yule aliye tuumba na kutuleta hapa duniani.
Hilo hapo juu ndio jibu sahihi kuliko yote juu ya swali kwanini binadamu tupo duniani.
However pamoja na usahihi wa jibu hilo hapo juu still bado sisi kama wanadamu tunalo jukumu la kutumia akili ambazo ametupa Mungu ili tujue ni sababu Gani hiyo ambayo imemfanya Mwenyezi Mungu atuumbe na kutuleta duniani...
As a matter of fact , dalili kwenye nature Zina suggest kwamba, aliye tuumba na kutuweka duniani amejificha na bado haja communicate chochote na sisi viumbe wake kujidhihirisha kwetu ila anataka sisi wenyewe tutumie akili ambazo ametupa kumjua yeye ni nani,kwanini ametuumba, jina lake halisi anaitwa nani( So far mpaka Sasa hakuna mwanadamu ambae analijua jina halisi la.Mwenyezi Mungu) etc.
Na hiki ndicho ninacho kifanya. So far tayari nimesha suggest nadharia kama 4 kwanini ninadhani sisi tumeletwa hapa duniani na Leo nina kuja na nadharia namba Tano ...
Stay tuned. Inakuja very soon
Bado Hujajibu Maswali ya Mtoa Mada natamani Mtu aguse Mtoa mada anachomaanisha ili.Mjadala uwe mtamuWala usiumize sana kichwa kwa maana hiyo unayosema ya kuabudu ilikua ni lengo la awali la uumbaji na kuabudu kuliko maanishwa hapo si kwenda kanisani wala kwenda msikitini ila ni kusikia na kufuata yale yote ambayo yeye aliyekuumba anayataka na mambo yote hayo yalikua kwa ajiri ya maendeleo ya dunia.
Kwa maana ya kwamba mtu hakuruhusiwa kufanya jambo lolote lenye mlengo wa kuigusa dunia kwa maamuzi yake binafsi bali kwa kufuata maelekezo kutoka kwa aliyemuumba.
Ila mradi huu ulifeli na hayo malengo yakawa yameishia pale pale kwa maana baada ya mradi kufeli Mungu aliamua kujitenga na mwanadamu.
Na kumuacha aweze kufanya mambo kwa kujiamulia mwenyewe huku akiwa amewekewa limitations.
Kwanza kwa nini mleta mada kahitimisha moja kwa moja kwamba tuliumbwa duniani pasipo uthibitisho?Bado Hujajibu Maswali ya Mtoa Mada natamani Mtu aguse Mtoa mada anachomaanisha ili.Mjadala uwe mtamu
Kumeanza Kuchangamka Maswali kama Haya ndo tunayahumitaji sasa..Kwa nini mtu anaamua kuoa na ikitokea ameoa na hapati watoto anamfukuza mke kwa kumtuhumu hazai?
Nini lengo la mtu kupata watoto huku akijua wakifikisha miaka ya utu uzima wataondoka kwake na kuanzisha miji yao?
Kabisa Maswli kama Haya LIKUD Anatakiwa Kujibu 😀😀Kwanza kwa nini mleta mada kahitimisha moja kwa moja kwamba tuliumbwa duniani pasipo uthibitisho?
Kuna uthibitisho upi unaothibitisha pasi shaka kwamba tuliumbwa duniani?
Swali la nyongeza ndugu mjumbe.Kumeanza Kuchangamka Maswali kama Haya ndo tunayahumitaji sasa..
Mimi naomba Nijaribu Kukujibu Hili swali!
Kwanza Kabisa Kuoa na Kutooa Ni Mindset tu hakuna Ulazima wa Kufanya Hivyo na Hata Ukiacha hutaweza Kuathirika Endapo mahitaji ya ndoa unaweza Kuyapata Bila kuoa..
Pili kuhusu Tuhuma za Kuzaa au kuhusu Hamu ya Kuzaa Pia ni Nzuri kwa sababu ili Kuweza Kuongezeka viumbe sifa yake Kuu ni kufanya Reproduction Kiumbe Chochote kisipofanya Production ya Copy yake kiumbe hicho Kipo katika Hatari ya Kupotea "Extinction"..
Ili Binadamu asiweze Kupotea Inabidi Kuzaliana sana na Hiyo ni cycle Vizazi hata Vizazi ili Viumbe visiweze Kupotea..
Ni sawa kabisa. Lakini hii kitu wengi huwaathiri sana wanapokaa ndani ya ndoa bila kupata mtoto (watoto). Na hao wanaofanya hivyo (kuwaacha wake/waume zao) ili waone na kuolewa au hata kutafuta mpango wa kando ili waweze kupata watoto, huwa na lengo lipi hasa?Kumfukuza Mke kwa Sababu hazai Hiyo Ni Hulka ya Mtu na Haiwezi Kuwa Normalised Kuwa Ni ya Jamii nzima..
Sijui kama Una swali la ziada
Walizaliwa na wazazi wao.lazima kutakua na wakwaza
Kama kila kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji wake wa kwanza, Hata muumbaji wa kila kitu lazima awe na muumbaji wake mwingine wa kwanza.Wazazi wa kwanza walizaliwa na nani
Kwanini Unawaza Kuna Mtu aliweka Mbegu Huwazi kuwa Mwili unatengeneza Mbegu zake mwenyewe katika Balaghe..Swali la nyongeza ndugu mjumbe.
Aliyeweka mbegu kwa mwanamme na yai kwa mwanamke ni nani na alikuwa na lengo gani?
Kwanini aweke kitu cha kutufanya tuzaliane na kuongezeka ili hali alikuwa na uwezo wa kumfanya mmoja au wawili tu na akawa ana-enjoy kuwaona?
Ni sawa kabisa. Lakini hii kitu wengi huwaathiri sana wanapokaa ndani ya ndoa bila kupata mtoto (watoto). Na hao wanaofanya hivyo (kuwaacha wake/waume zao) ili waone na kuolewa au hata kutafuta mpango wa kando ili waweze kupata watoto, huwa na lengo lipi hasa?