MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Aah sawa nimeelewaIlikuwaje mkakopana kwenye biashara ya nyumba, biashara ya bnb au kupangisha nyumba ni payment in advance siku zote
Hao wazungu wa Ulaya Mashariki wana njaa kali..As salaam alaykum
Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea.
Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv hataki kunilipa inakaribia mwezi sasa kila siku ananipiga sound.
Naombeni mnisaidie namna nzuri ya kumfanya huyu mpuuzi anilipe pesa zangu na jinsi ya kumkomesha ata asiponilipa, yaani nimpe fundisho litalomfanya ajute kuja Tanzania.
View attachment 3662510
Mwisho kabisa kwa watu mnaofanya biashara na wageni kuweni makini na watu wa Romania au Poland, guys kuweni makini.
Terms and conditions zipo very clear mkuu ispokuwa watu wengi hawapendi kufanya Payments kupitia AirBnb sababu ya gharama kubwa badala yake wanafanya direct booking. Huyu mpuuzi alibook kukaa wiki mbili akalipa malipo yote badae akaextend wiki mbili zingine. Lilipokuja suala la malipo akawa anadai card inazingua kufanya transfer, kwa kuwa nilikua na mgeni mwingine anaingia kwenye iyo nyumba ikabidi nimtoe ila akaaidi kukamilisha hayo malipo ndo mpaka leo ananipiga chengaBila shaka baada ya kumalizana na huyo mwamba utaweka sawa terms na conditions za malipo
Madhara ya kuamini mtu kwa kumdhania ndo yamenicost mkuu. NajutaIlikuwaje mkakopana kwenye biashara ya nyumba, biashara ya bnb au kupangisha nyumba ni payment in advance siku zote
Asante kwa wazo lako mkuu, kwa sasa nimetoka kidogo nipo nje ila nikirudi tu naanza kudeal nae japo mambo ya Polisi yanakua yapo slow sana. Watu kama hawa napenda kudeal nao kimtaa mtaaHao wazungu wa Ulaya Mashariki wana njaa kali..
Halafu huyo mjinga anakupigaje biti kirahisi hivyo?
Huyo mjinga mshtaki akamatwe atapigia familia yake huko kwao wamlipie...
Amekudharau sana...
Kule Ulaya hao ndiyo wapiga finga ( Wezi wa mifukoni) wanawaowaibia watalii, London na France wamejaa.As salaam alaykum
Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea.
Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv hataki kunilipa inakaribia mwezi sasa kila siku ananipiga sound.
Naombeni mnisaidie namna nzuri ya kumfanya huyu mpuuzi anilipe pesa zangu na jinsi ya kumkomesha ata asiponilipa, yaani nimpe fundisho litalomfanya ajute kuja Tanzania.
Mwisho kabisa kwa watu mnaofanya biashara na wageni kuweni makini na watu wa Romania au Poland, guys kuweni makini.
Bro nina miaka zaidi ya minne nafanya hii Biashara na watu kutoka pande zote za Dunia. kwa mwenye uzoefu hii ishu niliyokumbana nayo ni kitu cha kawaida and i take it as a lessonInaonekana ulimwamini kwasababu ni msungu nadhan ingekuwa ni ngozi ya tako mwenzio usingemwamin kabsa.
bado hujakutana na vichaa ingawaje nakushangaa mtu anatakiwa alipe ndio aingie imekuwaje wewe mkuu? weka smart lock. kila ikifika hela imeisha mlango haufunguki.As salaam alaykum
Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea.
Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv hataki kunilipa inakaribia mwezi sasa kila siku ananipiga sound.
Naombeni mnisaidie namna nzuri ya kumfanya huyu mpuuzi anilipe pesa zangu na jinsi ya kumkomesha ata asiponilipa, yaani nimpe fundisho litalomfanya ajute kuja Tanzania.
View attachment 3662510
Mwisho kabisa kwa watu mnaofanya biashara na wageni kuweni makini na watu wa Romania au Poland, guys kuweni makini.
Huyo mgeni alifanya booking ya 14 nights kupitia Airbnb, zilivoisha akaomba kuongeza wiki zingine mbili ila kwa njia ya direct booking sio Airbnb tena tukaingia makubaliano ambayo mpaka leo najutia ukizingatia alikua anaextend nights nyingi sikuweza kumkataliaBnb ipo wazi ila inaonekana nyie mkatoka kwenye mfumo mkazungumza nje ya bnb sasa hata ww una makosa ya kukwepa mfumo
Upo sahihi ila Passport yake inaonesha ni mromania.namba kwa mujibu wa google inatoka oman