MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
-
- #21
Huyu jamaa kakaa kiwizi wizi sana, nikiangalia chattings zake apa whatsapp nashindwa kumtofautisha na matapeliKule Ulaya hao ndiyo wapiga finga ( Wezi wa migukoni) wanawaowaibia watalii, London na France wamejaa.
Kibongo bongo ni ngumu sana hiyo mkuubado hujakutana na vichaa ingawaje nakushangaa mtu anatakiwa alipe ndio aingie imekuwaje wewe mkuu? weka smart lock. kila ikifika hela imeisha mlango haufunguki.
hilo ni la kuzingatia sanaBila shaka baada ya kumalizana na huyo mwamba utaweka sawa terms na conditions za malipo
Upo sahihi ila Passport yake inaonesha ni mromania.
Inaonekana ulimwamini kwasababu ni msungu nadhan ingekuwa ni ngozi ya tako mwenzio usingemwamin kabsa.
Kuna mzungu flani from Russia alipata pesa za dhahabu akachanganyikiwa na kuanza kula pombe 24/7 na kununua malaya hadi 8 on the same bed.... mwisho alikuja kufa kifala sana kwenye ajali akiwa anaendesha yupo bwax na dem wake wa kimang'ati mbwa yule.
Kule Ulaya hao ndiyo wapiga finga ( Wezi wa migukoni) wanawaowaibia watalii, London na France wamejaa.
Huyu jamaa kakaa kiwizi wizi sana, nikiangalia chattings zake apa whatsapp nashindwa kumtofautisha na matapeli
bro mi ninazo usifanye kazi kibongo bongo mkuu wala sio bei ghali.Kibongo bongo ni ngumu sana hiyo mkuu