Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

Dar ndo soko la pikipiki used zipo sana maana Bodaboda ndo biashara ilipo kubwa so wakimaliza mikataba wanaziuza kwa hao madealer alafu madelear wanaziuza tena kwa wateja wanaoshindwa kununua mpya wanataka za used.
Kuna. Mwamba hapo juu kanitajia keko DDC japo sina uzoef nao vip kule una wajua?
 
Hahaha, pole babu, ko kule keko zinawaka bei gani
It depend .
Kinachofanyika hata wewe unaweza kufungua biashara ya pikipiki used halafu vijana hasa waliomaliza mikataba ya bodaboda watakuja kuuzia ofisni kwako . Kwahiyo maelewano ni baina ya muuzaji na mnunuzi. Bahati mbaya na madalali wanajichomeka pia kupiga pesa. Mwenye ofisi kazi kuandaa mkataba na kuwa shahidi wa muuzaji.
Njoo tufungue ofisi. Hii biashara inalipa Mimi sina mda tu ningefanya
 
Mimi Kuna wakati nadhani ilikuwa tarehe 1 August nilienda Mbagara kununua pikipiki used nikakutana na usenge nikaenda Keko nikapata pikipiki nzuri kwa bei nzuri.
Mbagara madalali wengi.
Keko unanunua kwa mhusika dir

Kuna. Mwamba hapo juu kanitajia keko DDC japo sina uzoef nao vip kule una wajua?
hapana siwafahamu. Mimi ni raia kama ww ila nakupa experience yangu mm nilipovutaga chombo.
 
It depend .
Kinachofanyika hata wewe unaweza kufungua biashara ya pikipiki used halafu vijana hasa waliomaliza mikataba ya bodaboda watakuja kuzuia kwako . Kwahiyo maelewano ni baina ya muuzaji na mnunuzi. Bahati mbaya na madalali wanjichomeka pia kupiga pesa. Mwenye ofisi kazi kuandaa mkataba na kuwa shahidi wa muuzaji.
Njoo tufungue ofisi. Hii biashara inalipa Mimi sina mda tu ningefanya
madalali(inzi) every where!!!😂😂😂
 
Madalali wanakukomalia wakati bei ndogo tu utakuta wanawaka
Jina dalali lisikutishe mkuu , wao wananunua pikipiki kwa bei fulani then wanauza kwa bei fulani basi. Hata uende kununua wapi mode ndo hiyo. Unless labda ununue direct kwa mtu, lakini ukifika katika zile ofisi ni kama upo kwa mangi tu kanunua kwa bei ya jumla na yeye anaweka nyongeza anapiga bei. Kila la kheri mkuu
 
It depend .
Kinachofanyika hata wewe unaweza kufungua biashara ya pikipiki used halafu vijana hasa waliomaliza mikataba ya bodaboda watakuja kuzuia kwako . Kwahiyo maelewano ni baina ya muuzaji na mnunuzi. Bahati mbaya na madalali wanjichomeka pia kupiga pesa. Mwenye ofisi kazi kuandaa mkataba na kuwa shahidi wa muuzaji.
Njoo tufungue ofisi. Hii biashara inalipa Mimi sina mda tu ningefanya
Hahah jamaa wanapiga pesa kwa jasho la watu sijapend hawa jamaa
 
Jina dalali lisikutishe mkuu , wao wananunua pikipiki kwa bei fulani then wanauza kwa bei fulani basi. Hata uende kununua wapi mode ndo hiyo. Unless labda ununue direct kwa mtu, lakini ukifika katika zile ofisi ni kama upo kwa mangi tu kanunua kwa bei ya jumla na yeye anaweka nyongeza anapiga bei. Kila la kheri mkuu
Shukurani. Kuna jamaa majuzi aliniambia niende akaniuzie yake nikastuka
 
Back
Top Bottom