nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #121
Balaamadalali(inzi) every where!!!😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaamadalali(inzi) every where!!!😂😂😂
Wewe si utoa maelekezo!Nashangaa huyu anasafiria pikipiki daslam kaleta uzi badala aongee na wakulungwa kwanza.
ShukuraniKila la kheri mkuu
Hujanigusa sasa natoaje maelekezo🤣Wewe si utoa maelekezo!
Huuoni uzi?Hujanigusa sasa natoaje maelekezo🤣
Na kizuri uhalisia wote na maelezo mbalimbali wachangiaji mbalimbali tumempaNashangaa huyu anasafiria pikipiki daslam kaleta uzi badala aongee na wakulungwa kwanza.
Ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣madalali(inzi) every where!!!😂😂😂
Hio pikipiki ni namba gani usajili wake kwa hio bei?Huuoni uzi?
Ndo nacheki hapa nione pikipiki bora kulingana na Amana yanguHio pikipiki ni namba gani usajili wake kwa hio bei?
Na anapata rizikiAhahaha 🤣 🤣 🤣 🤣
Mjini bwana yaani mtu anaamka asubuhi kwenda kudalalia jasho la mwenzake
Ipost pm hapa kabla sijachoma oil mkuuNJOO nikuuzie boksa 1000,000
TU.
Document zote zipo.
IPO kinondoni
Kama upo tayari njoo inbox
Boxer 150
SanaNa anapata riziki
HowKaribu Mbagala, utakaribishwa vizuri sana kwenye Jiji la Chalamila kwa upendo na bashasha nyingi ila baadae yatakuwa majuto!
Thread 'Chalamila pamoja na ukuu wako wa mkoa acha kuwadharau wakazi wa Mbagala.' Chalamila pamoja na ukuu wako wa mkoa acha kuwadharau wakazi wa Mbagala.