Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

Dar ndo soko la pikipiki used zipo sana maana Bodaboda ndo biashara ilipo kubwa so wakimaliza mikataba wanaziuza kwa hao madealer alafu madelear wanaziuza tena kwa wateja wanaoshindwa kununua mpya wanataka za used.
Yaani boda boda amalize mkataba halafu auze pikipiki?

Wakati ndio kwanza anaanza kuimiliki rasmi baada ya mkataba wake wa majeresho kwa boss kuisha!
 
Usha report police kwanza kijana muokota simu au una leta fujo
 
Yaani boda boda amalize mkataba halafu auze pikipiki?

Wakati ndio kwanza anaanza kuimiliki rasmi baada ya mkataba wake wa majeresho kwa boss kuisha!
Wanauza Sana mkuu. Mara nyingi wanauza ili wanunue vitu vya magetoni Kama tv, muzik n.k.
Halafu anachukua mkataba mwingine.
 
Kweli mkuu kuna mwingine analia humu kwa simu ya kuokota vya karibu na bure vina gharama asije akanunua kesi ya mtu alisha nyang'anywa Uhai
Ndo huyu huyu nipo online alikua anajichanganya mara kapewa na mama mara kaokota

Sasa aangali asije kujichanganya tena

Anyway ndugu nipo online vipi umemalizana na wazee wa kazi kuhusu ile simu ?
 
Back
Top Bottom