nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
-
- #101
Hawa washamba siwakubali kwenye dili hizi, kupigwa live liveKumsingi tofauti sio kubwa maana pikipiki hizo unauza au kununua kwa madalali ambao ndo wanashinda/wanafanya kazi kwenye hizo ofisi mkuu
apigwe au siyo?🤣🤣Tuwasiliane 0787634634
Unataka umpange iwe paukwa pakawa?Tuwasiliane 0787634634
Kuna. Mwamba hapo juu kanitajia keko DDC japo sina uzoef nao vip kule una wajua?Dar ndo soko la pikipiki used zipo sana maana Bodaboda ndo biashara ilipo kubwa so wakimaliza mikataba wanaziuza kwa hao madealer alafu madelear wanaziuza tena kwa wateja wanaoshindwa kununua mpya wanataka za used.
Nishachomoa huyo mpigajiapigwe au siyo?🤣🤣
Mode ya biashara ndo ipo ivo mkuu, ni kama biashara nyingine tu, wao wananunua na kuuzaHawa washamba siwakubali kwenye dili hizi, kupigwa live live
It depend .Hahaha, pole babu, ko kule keko zinawaka bei gani
Madalali wanakukomalia wakati bei ndogo tu utakuta wanawakaMode ya biashara ndo ipo ivo mkuu, ni kama biashara nyingine tu, wao wananunua na kuuza
Mimi Kuna wakati nadhani ilikuwa tarehe 1 August nilienda Mbagara kununua pikipiki used nikakutana na usenge nikaenda Keko nikapata pikipiki nzuri kwa bei nzuri.
Mbagara madalali wengi.
Keko unanunua kwa mhusika dir
hapana siwafahamu. Mimi ni raia kama ww ila nakupa experience yangu mm nilipovutaga chombo.Kuna. Mwamba hapo juu kanitajia keko DDC japo sina uzoef nao vip kule una wajua?
madalali(inzi) every where!!!😂😂😂It depend .
Kinachofanyika hata wewe unaweza kufungua biashara ya pikipiki used halafu vijana hasa waliomaliza mikataba ya bodaboda watakuja kuzuia kwako . Kwahiyo maelewano ni baina ya muuzaji na mnunuzi. Bahati mbaya na madalali wanjichomeka pia kupiga pesa. Mwenye ofisi kazi kuandaa mkataba na kuwa shahidi wa muuzaji.
Njoo tufungue ofisi. Hii biashara inalipa Mimi sina mda tu ningefanya
Wewe yako uliivuta chimbo ganihapana siwafahamu. Mimi ni raia kama ww ila nakupa experience yangu mm nilipovutaga chombo.
Mmmh😄😄Habari zake Sina mkuu, hata kumwona sura sijawahi, nilipewa no take Kama wewe akanisafirishia mzigo kutoka dsm Hadi dodoma, Mimi nilikuwa dodoma nilinunua bidhaa dsm
Jina dalali lisikutishe mkuu , wao wananunua pikipiki kwa bei fulani then wanauza kwa bei fulani basi. Hata uende kununua wapi mode ndo hiyo. Unless labda ununue direct kwa mtu, lakini ukifika katika zile ofisi ni kama upo kwa mangi tu kanunua kwa bei ya jumla na yeye anaweka nyongeza anapiga bei. Kila la kheri mkuuMadalali wanakukomalia wakati bei ndogo tu utakuta wanawaka
Hahah jamaa wanapiga pesa kwa jasho la watu sijapend hawa jamaaIt depend .
Kinachofanyika hata wewe unaweza kufungua biashara ya pikipiki used halafu vijana hasa waliomaliza mikataba ya bodaboda watakuja kuzuia kwako . Kwahiyo maelewano ni baina ya muuzaji na mnunuzi. Bahati mbaya na madalali wanjichomeka pia kupiga pesa. Mwenye ofisi kazi kuandaa mkataba na kuwa shahidi wa muuzaji.
Njoo tufungue ofisi. Hii biashara inalipa Mimi sina mda tu ningefanya
Madalali ndio wanaofaidika zaidiHahah jamaa wanapiga pesa kwa jasho la watu sijapend hawa jamaa
Shukurani. Kuna jamaa majuzi aliniambia niende akaniuzie yake nikastukaJina dalali lisikutishe mkuu , wao wananunua pikipiki kwa bei fulani then wanauza kwa bei fulani basi. Hata uende kununua wapi mode ndo hiyo. Unless labda ununue direct kwa mtu, lakini ukifika katika zile ofisi ni kama upo kwa mangi tu kanunua kwa bei ya jumla na yeye anaweka nyongeza anapiga bei. Kila la kheri mkuu
Mafuta Lita ngapKam unaogopq kupigwa endesha mwenyewe tu mbona Iringa karibu?