Arghh😫😫Aiseeee?Kwa hiyo inakuwa "igugu lethu"?
Ukimfumania, ameleta njemba hapo nyumbani kwako, utafanyaje?
Mapenzi ni sanaa na tusikariri.hakuna wachafu kuliko wazunguSalalee wale watoto wako devoted kwenye mapenzi.
Mbaya zaidi naskia siku hizi wanatembea na kondom za kuvalisha vidole, wakati wewe unam pump yeye naye anakuingizia kidole...ufirauni ulioje arghhh
Naona wenyewe mmefikaMapenzi ni sanaa na tusikariri.hakuna wachafu kuliko wazungu
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Nilimpata moja hivi alikuwa anaitwa Nuru aaah!!! kudadekii...!!! sitokuja kumsahau Yan dah!!Kachukue mdigo utanishukuru
[emoji3][emoji3]Mkuu akamchukue kama chupa ya chai tu!
Mkuu nikifika mjini ntakujulishaNipe mwongozo
Una moyo mgumu? wanawake wa Tanga c mchezo.Habari wadau, i hope wote mpo poa sana.
Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa Dar es Salaam.
Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi mwenyewe na mademu huku wa dar naona wazinguaji na mimi binafsi sipendi kusumbuka na kubembeleza sana.
Huko tanga sina mwenyeji wala sijui kwa kuanzia.Nina liziko ya wiki kufanikisha hilo.Nipo serious.
[emoji16]Jiandae pumbu zako kuwekwa kwenye kisosi Cha chai mkuu,Kila lakheri.
Asije akasema hakuambiwa [emoji16]Jiandae pumbu zako kuwekwa kwenye kisosi Cha chai mkuu,Kila lakheri.
Una moyo mgumu? wanawake wa Tanga c mchezo.
Ikifika zamu ya wanaotaka kuoa Zanzibar mtaniambia niwape muongozo
Sawa Iła sio kwa Wiki moja hio..Kachukue mdigo utanishukuru
PM yenyewe umefungaYes, ila usimwogope ni mtaalam ila ndio mzee wa kijiji na anajua kila mtu na anaweza kukupa wanadada wakorogwe.kijijini wazuri wenye heshima na wakakupenda kwa moyo ni mtu mzima sana tena haitaji pesa nyingi
Ukifika huko apply style ya mwewe na vifaranga vya kuku yule utakayekutana naye wa kwanza ndiye atakuwa umeandaliwa kwakoNaposa natoa