Naenda Tanga kuoa

Naenda Tanga kuoa

Tanga Kubwa mkuu Unaenda kuolea Sehemu gani?
FB_IMG_1690721817137.jpg
 
Habari wadau, i hope wote mpo poa sana.

Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa Dar es Salaam.

Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi mwenyewe na mademu huku wa dar naona wazinguaji na mimi binafsi sipendi kusumbuka na kubembeleza sana.

Huko tanga sina mwenyeji wala sijui kwa kuanzia.Nina liziko ya wiki kufanikisha hilo.Nipo serious.
Una moyo mgumu? wanawake wa Tanga c mchezo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes, ila usimwogope ni mtaalam ila ndio mzee wa kijiji na anajua kila mtu na anaweza kukupa wanadada wakorogwe.kijijini wazuri wenye heshima na wakakupenda kwa moyo ni mtu mzima sana tena haitaji pesa nyingi
PM yenyewe umefunga
 
Back
Top Bottom