Naendelea kutoa Somo, vijana msitolee macho pesa za wake zenu

Kila mtu atumie akili yake kuishi vizuri na mke wake TUSITISHANE bhana, ukiwa na akili ndogo utashindwa kummudu mkeo.
 
Umeoa dogo ?
 
Nanukuu

"""MKe wake akamwambia hiyo nyumba si yake ni ya familia so Jamaa apambane kivyake"""

sisi wengine familia zetu na Koo zetu zimesha pevuka/ zilishapevuka Mali Ni za mume na mke na hakuna nguchiro awaye YEYOTE yule atakae kuja kudai hata kijiko..

mke wa jamaa Ni mbinafsi na hafai kabisa Mimi na mke wangu ni wamoja ASANTE SANA mwenyezi Mungu kunipa huyu mmama 😊
 
Wewe sema tu unanyemelea pesa za Mkeo
 
Nimeoa nina watoto wanne na miaka 14 kwenye ndoa
Mama yako alikuwa ana mfichia hela baba yako na alikuwa mbinafsi kupindukia kama hizi malaya unazo zisifia hapa ?

Hivi haya matakataka ya leo madogo mnayoita mke huwa mnaya okotea wapi ?
 
Mama yako alikuwa ana mfichia hela baba yako na alikuwa mbinafsi kupindukia kama hizi malaya unazo zisifia hapa ?

Hivi haya matakataka ya Leo madogo mnayoita mke huwa mnaya okotea wapi ?
Wake za watu wewe unapata ujasiri gani kuita Matakataka?
 
Wake za watu wewe unapata ujasiri gani kuita Matakataka?
Ana tofauti gani na takataka huyo unaye muita mkeo ? Tena sio takataka malaya nafikiri itamfaa

Mwanamke mbinafsi kupindukia ni malaya anaweka maslahi yake binafsi mbele.
 
Ana tofauti gani na takataka huyo unaye muita mkeo ? Tena sio takataka malaya nafikiri itamfaa

Mwanamke mbinafsi kupindukia ni malaya anaweka maslahi yake binafsi mbele.
Hahaha sina mke wa hivyo mimi. Sina Malaya mbona unataka kubadilisha Mada kwa lazima?
 
Mke inabidi aelewe Ndoa ni taasisi. Haiwezekani kila mmoja akawa anafanya kivyakevyake hio sio Ndoa ni watu tu mmekutana mnaitana mke na mume.

Kama ni Ndoa kweli hakuna Cha mke peke yake Wala mume peke yake. Baada ya kukaa Muda mrefu mke Mjinga Ndio anakuja kujua hili. Unajenga kwenu kwa hiyo na mama wa huyo mke nae anajenga kwao?

Kwangu mimi kama unatumia Muda wa familia kutafuta fedha hiyo fedha ni ya familia na kama sio ya familia itakupasa ukae nyumbani ulee watoto.

Tumesacrifice watoto wakae na dada wa kazi ili wewe pia ukatafute kwaajili ya familia huwezi kuleta chochote kaa Lea watoto mume ataleta mahitaji yote.
 
It make sense somehow
 
Hahaha sina mke wa hivyo mimi. Sina Malaya mbona unataka kubadilisha Mada kwa lazima?
Ni kwamba hujapenda nilicho andika ila huyo mwanamke unaye muita mkeo ni malaya kwa hiki ulicho andika hapa juu ya wanawake.
 
Endeleeni kujikaza muwahi kufa mtuachie sisi hao wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…