Naendelea kutoa Somo, vijana msitolee macho pesa za wake zenu

Mimi nikikwama katika biashara napambana mwenyewe kwenda kukopa hata kwa watu wengine ila wife asijue kabisa kama nnapitia ktk upungufu kwenye biashara.

Hii yote nafanya ili kulinda hadhi ya uanaume.
Una uhakika huyo unaishi naye ni mkeo? Hivi maana ya kuoa au kuolewa ni nini?
 
Upendo na roho nzuri sisi wengine tunazichakaza hela za wake zetu kuliko hata wao Sasa nyie mliyoangalia matako endeleeni kuteseka
Ndio nashangaa, inakuwaje eti mwenzako ana shida ya hela humpi aende kukopa nje, hizi ndoa ni mazingaombwe
 
Na mimi Chapu kwa wakili tuna andikishana mkataba iyo nyumba ni yangu na sio ya mke na mme .siku tuki achana alambi ata kitasa cha mlango
 
Reactions: Cyb
Nitarudi, nimewahi kuandika nyuzi mbili za haya mambo
 
Mwanamke mbinafsi,ishi nae kibinafsi,dawa ya moto ni moto!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…