Naendelea kuunga mkono Urusi; Hoja zangu hazijajibiwa

kama anaweza kuwamaliza acha awamalize wote ila anatakiwa ahakikishe majambo haya
jambo la kwanza
nimaslahi na usalama wa urusi haupo matatani
jambo la pili
nimaslahi na usalama wa urusi haupo matatani
najambo latatuuu
nimaslahi na usalama wa urusi haupo matatani
jibuni hoja za yericko sio vihoja
 
Na wewe unakuja na majibu hafifu tu; hakuna sababu yyote inayohalaisha hmashambulizi hayo. Anajali usalama wa urusi dhidi ya nani; yaani anaogopa nini. Kama anaogopa Marekani, bado anapakana na Marekani kwa karibu sana kule bahari ya Pacific kuliko hiyo nchi ndogo ya Ukraine ambayo imezungukwa na urusi sehemu tatu za dunia. Aliingia jeshi la askari 190,000 na vifaru zaid ya 200 kutoka pande tatu za dunia lakini bado amekwama. Anachofanya na kutumia makombora ya mbali kufanya uharibifu mkubwa na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia yoyote tu, kosa lao ni kwa vile wao ni waukraine, kama hiyo siyo genocide ni nini.
 
huo upande alosaidia US alienda kupeleka viroba vya vyakula?
kama US alisaidia upande mmoja hata RUSSIA nao wanasaidia upande mmoja kwakuzihami jamhuri ya Luhansk na Donesk dhidi ya madhila vurugu na vurumai zinazoelekezwa kwao kutokea KIEV
kama US alikua sahihi na RUSSIA yupo sahihi na anatakiwa awachape kweli kweli mpaka wasalimu Amri
 
wanakataliwa kua kituo chakijeshi wao kama nani wakuwaktalia wenzao?
kama unasapoti hilo la US kumkatalia CUBA kua kituo chakijeshi cha US unapingaje hili la RUSSIA?
 
bado na KIEV kua magofu kama ulivyokua BAGHDAD ALEPPO BASRA TRIPOLI BENGHAZI nk
RUSSIA yupo sahihi
 
hakuna genocide mmefunga TV za RUSSIA kulisha watu matango pori
Zelensky kayataka kuwapa raia silaha waingie vitani wakat hawana hata mafunzo yakivita kama kunahio Genocide mnayoisemea mlengwa wakwanza wakuhukumiwa nihuyo Comedian
RUSSIA wapo sahihi MKUU
 
Nyamaza wewe, nyamaza. Kama Obama anakiri mwenyewe katika viti anavyojutia katika utawala wake ni kiivamia Libya wewe ni nani unepinga hapa, nyamaza hujui kitu.
 
Communism source ya madikteta duniani
 
Unaweza ukajiona Una akiri kumbe mpuuuzi tuuuuu
 
Swali: Mbona Marekani alikataa kuwepo kwa military base ya urusi Cuba, despite the fact kwamba wanapakana upande wa Alaska?
 
Ujerumani na Ufaransa hawakushiriki uvamizi wa Iraq labda ungeandika Poland japo ilichangia askari wasiozidi 200.
 
Swali: Mbona Marekani alikataa kuwepo kwa military base ya urusi Cuba, despite the fact kwamba wanapakana upande wa Alaska?
Na wewe kama Putin bado mnaishi miaka ya 60 ambapo hakukuwa na GPS wala cellphone. Na hata hivyo miaka hiyo bado diplomacy ilitumika, na wala hakukuwa na vita. Miaka ya hivi Karibuni Putin alipelekea jeshi Venezuela wala serikali ya Marekani haikusema kitu.

Putin ametembelewa na viongozi wa nchi nyingi kumshawishi kuwa vita siyyo suluhisho bali linatakiwa jibu la kidiplomasia, akawa anajibu kuwa hana mipango ya vita bali jeshi lake linafanya mazoezi tu lakini mwisho wake akavamaia ka-nchi ambako hakakauwa na maandalizi ya vita. Ukraine ilikuwa na silaha nyingi sana za Nyuklia ila mwaka 1994 lakini iliziharibu ote na kusema yenyewe itaishi kwa amani kwa majirani, Urusi ndiyo ilichukua silaha nyingi ambazo Ukraine ilitaka kuharibu. Kwa nini Putin hakutaka kutumia diplomacy kama siyo matokea ya kiburi na nia mbaya kwa Ukraine? Kwa nini hakushambulia Estonia, Latvia na Lithuania wakati zilipoomba kuwa kwenye NATO wakati hizo ndizo hatari sana kwa huo usalama wake kwa vile ziko karibu sana na St. Petersberg na Moscow kuliko Ukraine, na vile vile zinapakana na Bahari.

Sasa baada ya uvamizi huo na uharibifu wa mali na maisha ya raia wa kawaida wa Ukraine, acha uone umwamba wake utamfikisha wapi. Kwanza mpaka sasa hivi jeshi lake lote limebaki matope tu ndani ya Ukraine, wanakimbia na kuacha vifaru nyuma. Hiyo mizinga ya masafa marefu aliyokuwa anatumia kufanya uharibifu itaanza kudhibitiwa sasa kutoka na silaha mpya ambazo Ukraine imezipata kutoka Marekani. Kwa uvamizi huu, Ukraine baada ya vita si ajabu ikajenga jeshi la hatari sana kwa usalama wa Urusi kuliko Putin alivyotegemea, na huenda Ukraine ikapeleka majasusi Moscow kwenda kulipiza kisasi kwa uharibufu waliofanyiwa.
 
Anachokifanya Putin ni uhalifu wa kivita tu.

Amekaa madarakani miaka mingi na anajiona ana haki ya kufanya anachotaka kwa jirani zake kwa muavuli wa usalama wa Urusi.

Hii Vita itakuwa doa kubwa kwake na wanaomuunga mkono (ikiwemo mtoa mada) kwa siku nyingi zijazo.
 
hakuna doa lolote acheni kuwaza mambo yasiokua namsingi
PUTIN yupo sahihi zaidi kwa 100% nakama mhalifu wakivita waende wakamkamate
 
heheee mnaona RUSSIA kama RWANDA eeeh
nisuala la muda tu tutamuambia zelnsky mambo mawili ondoa kwausalama wako ama fanya hv kwausalama wako
hakuna silaha hatari wala jasusi atakaepeleka mdhara moscow huko nikujipa faraja
operation maalum inaendelea vyema kabisa muwe wapole vijana acheni kulalama lalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…