Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

Ubunifu mzuri
Jaribu kuongeza za kikatoliki na SDA
nitakutafuta

Vp nauli ya kuja kuweka ?
 
Wewe unaweza kulinda kazi za Hillsongs, unaweza kulinda kazi za P Diddy, Unaweza kulinda kazi za Tasha. Kazi za nyimbo hazilindwi kwa kutumia bunduki na Mishale.
Wewe mpuuzi si umesema una nyimbo za injili peke yake? P Diddy anaimba gospel? Unavyoendelea kunijibu kijinga ndo unazidi kuharibu.
 
Achana na watu hasi, watumishi wa Mungu tushaa kuelewa.!

Kuna kipindi mtu unasikiliza song la gospel mpaka unatamani wawepo wengine wabarikiwe nazo.!

Nani kawaambia kipaumbele cha waimbaji ni pesa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…