Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Ubunifu mzuri
Jaribu kuongeza za kikatoliki na SDA
nitakutafuta
Vp nauli ya kuja kuweka ?
Jaribu kuongeza za kikatoliki na SDA
nitakutafuta
Vp nauli ya kuja kuweka ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpuuzi si umesema una nyimbo za injili peke yake? P Diddy anaimba gospel? Unavyoendelea kunijibu kijinga ndo unazidi kuharibu.Wewe unaweza kulinda kazi za Hillsongs, unaweza kulinda kazi za P Diddy, Unaweza kulinda kazi za Tasha. Kazi za nyimbo hazilindwi kwa kutumia bunduki na Mishale.
Nasisi tulio mikoa mingine tutafurahi tukipata hiyo neema.Mkoa naoweza kutuma ni Mbeya tu.
Mkuu tufanye umeshinda sisi tumeamua kuanza na Mungu.Wewe mpuuzi si umesema una nyimbo za injili peke yake? P Diddy anaimba gospel? Unavyoendelea kunijibu kijinga ndo unazidi kuharibu.
Upo mkoa gani mkuuNasisi tulio mikoa mingine tutafurahi tukipata hiyo neema.
Ahsante sana mkuuNauza flash kwa bei za jumla .niungushe basi mkuu??
Sawa,Nitafute Whatsapp nikupe hiyo app: 0687 746 471
Utadownload nyimbo zote mpaka utakoma
Haya ndo mambo sasa.!Nitafute Whatsapp nikupe hiyo app: 0687 746 471
Utadownload nyimbo zote mpaka utakoma
Achana na watu hasi, watumishi wa Mungu tushaa kuelewa.!ACHA WIVU USIJIFANYE KAMA HUELEWI HIKI NACHO KIFANYA. NIMEKWAMBIA NI KAZI YA MUNGU NASHARE WATU WASIKILIZE KAZI ZA MUNGU. AU ULITAKA NIKAJIANIKE KARIAKOO NA PC WATU WAJE WACHUKUE BURE:
MBONA BINADAMU WENGINE MNAKUA NA ROHO MBAYA KIASI HIKI.
NOTE: Sio biashara nafanya kazi ya Mungu tu. Nataka kushare Playlists ya nyimbo za dini ambazo najua zitawabariki walio kwama walio Kosa tumaini wanapitia magumu. Siwezi nikawa nimejifungia chumbani nasikiliza mwenyewe.