Nafanya kazi hoteli,nataka demu wa kizungu,nitumie mbinu gani ?

lelulelu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
446
Reaction score
416
Wakuu mambo vipi inakuwaje?
Mimi kwa kweli nimekuwa nikitamani kila siku kupata demu wa kizungu atoke nchi yeyote ile,juhudi zangu zinagonga mwamba kila siku.

Nafanya kazi ya kutengeneza vitu vya samani hotelini ambakko wazsungu wako kedekede naonana nao naongea nao kiingereza cha kupapasa,ila sijawahi kuwatongoza kkabisa.
Nikiomba namba napewa ila wakienda nchini kwao wananipotezea hawajibu meseji zangu.

Nitumie njia gani kupata demu wa kizungu wakuuu ?
 
1..Tafuta shuka la kimasai uwe unavaa siku moja moja week end,,hakikisha wanawake wa kizungu wanakuona.
2.fuga Rasta..
Mzungu hatoki hapo
 
Fuga rasta kua smart. Sio tie na kuchomekea vaa casual wear. Yani ishi ki rasta. Kua mtu cool and social. Ukikutana na wazungu focus zaidi kujenga ukaribu nao sio mapenzi. Wazungu wanapenda bata na good time. Nenda night club karaoke bars huko ndo utakutana na kujimix nao. Unaweza ku organise vi trip au cycling tours around where you live. Research activities wanazopenda. Muhimu zaidi jifunze lugha n wazungu bila condom hupati papuchi
 
Fuga rasta...alafu dindisha dushe kila mara umuonapo mzungu anapita.
 
Fuga rasta kua smart. Sio tie na kuchomekea vaa casual wear. Yani ishi ki rasta. Kua mtu cool and social. Ukikutana na wazungu focus zaidi kujenga ukaribu nao sio mapenzi. Wazungu wanapenda bata na good time. Nenda night club karaoke bars huko ndo utakutana na kujimix nao. Unaweza ku organise vi trip au cycling tours around where you live. Research activities wanazopenda. Muhimu zaidi jifunze lugha n wazungu bila condom hupati papuchi
Je kwa mimj ninayewataka wadad wa Kitanzania mkuu? Naomba namna ya kuwapata na mimi
 
Kama vipi tumia mbinu hata ya kumteka mmoja wapo uliyempenda 😀😀.
 
Wakuu mambo vipi inakuwaje?
Mimi kwa kweli nimekuwa nikitamani kila siku kupata demu wa kizungu atoke nchi yeyote ile,juhudi zangu zinagonga mwamba kila siku.

Nafanya kazi ya kutengeneza vitu vya samani hotelini ambakko wazsungu wako kedekede naonana nao naongea nao kiingereza cha kupapasa,ila sijawahi kuwatongoza kkabisa.
Nikiomba namba napewa ila wakienda nchini kwao wananipotezea hawajibu meseji zangu.

Nitumie njia gani kupata demu wa kizungu wakuuu ?
Vaa Kama mganga wa kienyeji utawapata wa kukutosha
 
Rasta Sio Lazima Wazee

Kwani Wote wenye mademu wa kizungu Wana Rasta !?
Kwani Wasichana Wa kizungu Wote Wanataka wenye Rasta !?
Wewe Mwemyewe umesema KINGEREZA chako cha kupapasa Sasa hapo utawapataje mkuu

Weka kwanza KINGEREZA Safii Rasta Pekee Sio Ishu ikiwa hata kuongea Nao ni Shida [emoji848]
 
Legeza sauti, ukitembea usikaze sana wuwuwu hapo utaopoa kiulainiiii
 
Wakuu mambo vipi inakuwaje?
Mimi kwa kweli nimekuwa nikitamani kila siku kupata demu wa kizungu atoke nchi yeyote ile,juhudi zangu zinagonga mwamba kila siku.

Nafanya kazi ya kutengeneza vitu vya samani hotelini ambakko wazsungu wako kedekede naonana nao naongea nao kiingereza cha kupapasa,ila sijawahi kuwatongoza kkabisa.
Nikiomba namba napewa ila wakienda nchini kwao wananipotezea hawajibu meseji zangu.

Nitumie njia gani kupata demu wa kizungu wakuuu ?

Yaani Mzungu kabisa arejee Kwao pamoja na kwamba mliachiana ( mlipeana ) tu namba za Simu halafu leo akutafute 'Mswahili' Mmoja tu Wewe?
 
Back
Top Bottom