Kwani huwa unatumia njia gani kuwaboa hao wazungu kiasi hicho mkuu?Wakuu mambo vipi inakuwaje?
Mimi kwa kweli nimekuwa nikitamani kila siku kupata demu wa kizungu atoke nchi yeyote ile,juhudi zangu zinagonga mwamba kila siku.
Nafanya kazi ya kutengeneza vitu vya samani hotelini ambakko wazsungu wako kedekede naonana nao naongea nao kiingereza cha kupapasa,ila sijawahi kuwatongoza kkabisa.
Nikiomba namba napewa ila wakienda nchini kwao wananipotezea hawajibu meseji zangu.
Nitumie njia gani kupata demu wa kizungu wakuuu ?