1..Tafuta shuka la kimasai uwe unavaa siku moja moja week end,,hakikisha wanawake wa kizungu wanakuona.Wakuu mambo vipi inakuwaje?
Mimi kwa kweli nimekuwa nikitamani kila siku kupata demu wa kizungu atoke nchi yeyote ile,juhudi zangu zinagonga mwamba kila siku.
Nafanya kazi ya kutengeneza vitu vya samani hotelini ambakko wazsungu wako kedekede naonana nao naongea nao kiingereza cha kupapasa,ila sijawahi kuwatongoza kkabisa.
Nikiomba namba napewa ila wakienda nchini kwao wananipotezea hawajibu meseji zangu.
Nitumie njia gani kupata demu wa kizungu wakuuu ?
Tumefall mkuu... rasta zingekuwepo zingesaidia ata kuanzisha ukaribu!Sina rasta kk
i hope mchawi wako umeshamjua sasaSina rasta kk
Je kwa mimj ninayewataka wadad wa Kitanzania mkuu? Naomba namna ya kuwapata na mimiFuga rasta kua smart. Sio tie na kuchomekea vaa casual wear. Yani ishi ki rasta. Kua mtu cool and social. Ukikutana na wazungu focus zaidi kujenga ukaribu nao sio mapenzi. Wazungu wanapenda bata na good time. Nenda night club karaoke bars huko ndo utakutana na kujimix nao. Unaweza ku organise vi trip au cycling tours around where you live. Research activities wanazopenda. Muhimu zaidi jifunze lugha n wazungu bila condom hupati papuchi
Vaa Kama mganga wa kienyeji utawapata wa kukutoshaWakuu mambo vipi inakuwaje?
Mimi kwa kweli nimekuwa nikitamani kila siku kupata demu wa kizungu atoke nchi yeyote ile,juhudi zangu zinagonga mwamba kila siku.
Nafanya kazi ya kutengeneza vitu vya samani hotelini ambakko wazsungu wako kedekede naonana nao naongea nao kiingereza cha kupapasa,ila sijawahi kuwatongoza kkabisa.
Nikiomba namba napewa ila wakienda nchini kwao wananipotezea hawajibu meseji zangu.
Nitumie njia gani kupata demu wa kizungu wakuuu ?
Je kwa mimj ninayewataka wadad wa Kitanzania mkuu? Naomba namna ya kuwapata na mimi
Kama hauna mkuu?Hawa wa kwetu ni pesa tu inahitajika.
Wakuu mambo vipi inakuwaje?